lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu zuchu – litawachoma

Loading...

[verse 1 : zuchu]
habiby louzii
kipenzi changu cha ngama
mi ma wewe hadi milelee
komesha wachokozii
wabaki kututazama
tuwatoe jasho la nywele
mhh! nimesikia khabari
eetii kuna mtu twamkera
oooh mbona akae tayari
maana bado muvi hili trelaaa
na usiku nik~mbate (iteh teh teh teh)
oooh my baby boo (iteh teh teh teh)
kwa gego ning’ate nga’te (iteh teh teh teh)
you know i love you
nikizidi ugomvi unichape (iteh teh teh teh)
silaha runguu (iteh teh teh teh)
kwenye joto nipepee (iteh teh teh teh)
mwandani w~nguuu
penzi letu kwao fayaa

[chorus]
na litawachoma sana mhhh litawaumaa
na litawachoma sana eh kwa roho mbaya zenu
na litawachoma sana ooh na hatuachanii
na litawachoma sanaa
[verse 2:diamond platnumz]
mhh! ada
kinachotakasa nafsi huba si sabunii
kw~ngu usiwe na wasi nishaacha uhuni
ada kama moyo jiko basi we ndo w~ngu kuni
mapenzi soka nipe pasi ntie nyavuni
tena wasikutishe kwa jumbe zao za kata (kataa)
mi ndo kamati kuu hapa jimbo umepata (pataa)
mahaba ni tashtiti na baby unayajua
siwezi fanya ya shishi uchebe kukubutua
waambie na ibilisi
kwetu wanajisumbua
huu mfupa kashindwa fisi
wao paka utawaua

[bridge: diamond platnumz]
dodoo dodo (nimeokota dodo na mjani wake)
nimeokota dodo
litaemkera ni shauri zake
simba nimelipata dodo
nimeokota dodo na mjani wake
oh mi mwenzenu dodo
litaemkera ni shauri zake
na litawachooma

[chorus]
na litawachoma sana mhhh litawaumaa
na litawachoma sana eh kwa roho mbaya zenu
na litawachoma sana
ooh na hatuachanii
na litawachoma sanaa
[outro: diamond platnumz & zuchu]
asa baby nichezeshe ngondo
ngondo ngondoigwa ngo
ah tulicheze ngondo
ngondo ngondoigwa ngo
eeeh timbwili timbwili tutimbwilike
ngondo ngondoigwa ngo (oooooh)
mpaka kupambazukee
ngondo ngondoigwa ngo (ai ngondo)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...