lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu omary kopa – nipepee

Loading...

#intro
mpenzi w~ngu nipepeeee
nione raha nilaleee
ahaa usijalii nipokeee
penzi liwe palepaleee
aaahhh
mpenzi w~ngu nipepeeee
nione raha nilaleee
ohh usijalii nipokeee
penzi liwe pale paleee
watu wapige kelelee
watoke jasho la nywelee
watu wapige kelelee
watoke jasho la nywelee
raha tuziweke mbelee
tushinde hadi milelee
#verse
aaa raha tuziweke mbelee
tushinde hadi milelee
tushinde tushinde
tushinde tushinde
tushinde tushindeee
tushindee hadi
hadi mileleee

ladha yakoo
ni tamuuu

ladha yakoo
habiit nitamu
nitaaamu

yaleeeeeeeih
aaaaaahhhhh
yaleeeyyy
baatwa amanswiid
yaaa dhamaan

aaaaahhhh
yaleeey yaleey
yaleeeeeeeih
yaaah salaaam
aaahahahahaaaah
mhhhhhhmhhhhh

ukitaka uniweze
fanya wazi wakuone
mahasidi wanyamaze
wasiseme wanong’onee

oohhh ukitaka uniweze
fanya wazi wakuone
mahasidi wanyamaze
wasiseme wanong’onee

penye wengiii
nipulizeee
baridi yakooo
baridi yakoo niionee

penye wengiii
nipulizeee
baridi yakooo
baridi yakoo niionee

mwilini unitembezee
hadi wilaya nyigine
raha ya ngoma ucheze
ndipo raha uione
mwilini unitembezee
hadi wilaya nyigine
raha ya ngoma tucheze
ndipo raha uione
ohhh

mhhhhhhmhhhhh

nipepee kwa hisani
nilale unasema
na wewe uwe pembeni
polepole ukihema

ohh nipepe kwa hisani
nilale unasema
na wewe uwe pembeni
polepole ukihema

maana huwa uwa sionii
ninapo
ninapo ipanda milima
maana huwa uwa sionii
ninapo
ninapo ipanda milima
nishikize nitamani
honey w~ngu fanya hima
tamu ya chai sukari
wahenga walivyonena
nishikize nitamani
sweet w~ngu fanya hima
tamu ya chai sukari
wahenga walivyonena

aaahhhaa

mhhhhhhhhh

sema unapenda nini
mwenyewe nieleze
kama mapenzi ya ndani
dozi nikuongezee
oohhh sema unapenda nini
mwenyewe nieleze
kama mapenzi ya ndani
dozi nikuongezee
nikulazee
kifuanii
marahaaa
maraha ujionee
nikulazee
kifuanii
marahaaa
maraha ufaidi
hatufiki mahkamani
kesi ni yetu wenyewe
wewe ni huk~mu mimi
nami ni kuhuk~mu wewe
hatufiki vituoni
kesi ni yetu wenyewe
wewe unisifu mimi
nami nikuswifu wewe
nami nikuswifu wewe
nami nikuswifu wewe
naaami nikuswifu wewe