lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu naiboi – bungee jump

Loading...

bungee!
uwii, eyaa yah yah yah
anapenda bungee, okey alright
anapenda bungee
yule mluyha wa bu~bu
pull up, bungee
naiboi
anapenda bungee
katoto kasupa kafiti
nikitoa ka whisky anadai ni ku risky(bungee)
anadai ma moshi tu
nikidai twende arusha yeye ni moshi tu
(anapenda bungee)

well shave hapendangi push
ata george anajua zake huw~nga ma kush
kwanza mashash ndio starsh
wakisanifu kwa bash
aki si huyu dem ako na class
anapenda(bungee)
mi stumiangi(no)
napenda ganji(ha)
si unajua mi staki noma na matiangi (ah~ah)
hizi mambogi zishaanguka mtihani
wamesahau we ndio summer bunny na ba~bungee
gal dem anapenda form ya huyu mandem(hehe ii)
na mandem anajua game, anajua game
ni mlevi, anapenda bungee
anapenda bungee
ni mlevi, anapenda bungee
anapenda bungee
ni mlevi, anapenda bungee
hunny are you okey(okey)
piga magoti uokoke(hallelujah)
mapepo mbaya ikutoke
anapenda raha, me napenda ganji(yeah)
(anapenda bungee)
oya basi shoka thutha
nikugidem hii flow na design ya doba boy
kapienga unainyemelea
kwa corner jo inapotelea
(anapenda bungee)
nikisema ‘do you’ si ati ujiduu(no)
nakusoro chini ya maji na ka malibu(wewe)
nikifika jo ni shisha ikam thru’
akifika joh ni moshi ikam thru’
(anapenda bungee)
na mapeddy wako ever ready
na mi ni j.j okocha vile game nawatoka
mami dondosa, tusepe villa rosa
na sicheki na promoter
anapenda bungee
anapenda bungee
ni mlevi, anapenda bungee
(wewe, si alianza form 2)
anapenda bungee
ni mlevi, anapenda bungee
bungee
na tuko tu pacho kwani boss


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...