lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu matonya – vaileta

Loading...

[chorus]
watu walishachonga sana
eti vailet simpati tena
na kuongea uzushi bwana
kwa kuona mambo yetu yananyooka
hata kiss, hug sipati oh mama, baby
watu walishachonga sana
eti vailet simpati tena
na kuongea uzushi bwana
kwa kuona mambo yetu yananyooka
hata kiss, hug sipati oh mama, baby

[verse 1]
mi na huyu demu tunapendana
sisi kila sehemu mimi naye hatutoachana
kwenye shida na raha sisi tunapendana
bora tunapendana
mseme msemavyo tutazikana
mi na vai hatutoachana
mbane mbanavyo tutazikana
mi naye hatutoachana
wanaogombana wanapatana
nikikuudhi naomba unisamehe
kama kadi i’m sorry mpenzi nikuletee
semaa unachotaka
chochote unachotaka nitakupa maa
baby usiwe na pupa
usiwe kama fisi unataka mfupa
wewe vailet amini we ndo
my sweet heart, mi napenda unavyodeka
unavyocheka, mwili unaweweseka
[chorus]
watu walishachonga sana
eti vailet simpati tеna
na kuongea uzushi bwana
kwa kuona mambo yetu yananyooka
hata kiss, hug sipati oh mama, baby
watu walishachonga sana
eti vailet simpati tеna
na kuongea uzushi bwana
kwa kuona mambo yetu yananyooka
hata kiss, hug sipati oh mama, baby
[verse 2]

vailet njoo vailet usihofu
vailet usifanye chochote itakuwa soo
kwani mi mwenzako tonya nakupenda sana
ziba masikio wanafiki watakudanganya
vailet basi usiwe na wasi
ushanikataza nastop kuvuta nyasi
kuna mazuri baby utakuwa huyapati
kipindi kile we utaponisaliti we
vailet we ndo keki wengine fake
wataolewa hawariziki we
mi na wewe tu, we ndo w~ngu sista duu
usiwe na makuu nasisitiza we ndo my au
vailet usininyanyase mie
vailet nini nikununulie
[chorus]
watu walishachonga sana
eti vailet simpati tena
na kuongea uzushi bwana
kwa kuona mambo yetu yananyooka
hata kiss, hug sipati oh mama, baby
watu walishachonga sana
eti vailet simpati tena
na kuongea uzushi bwana
kwa kuona mambo yetu yananyooka
hata kiss, hug sipati oh mama, baby


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...