lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu dela – hello (adele swahili cover)

Loading...

[dela]
h-llo
ni mimi, baada ya miaka na mikaka
je twaweza kukutana, turejelee yote?
wanasema muda unaponya
mbona bado ninaumwa?
h-llo?
waniskia?
niko pwani nikiota juu ya vile tulikuwa
kama vijana tulipokuwa huru
nimesahau ilivyohisi kabla dunia ianguke
tofauti baina yetu ni maili milioni

(chorus)
helo toka kwa mataa
(kwa mataa, kwa mataa)
mara elfu kakupigia
(pigia, pigia)
kuomba msamaha
kwa niliyotenda
lakini mteja hapatikani
helo toka kwa mataa
hauwezi sema sijajaribu
(jaribu, jaribu)
basi nisamehe kwa kuvunja moyo
lakini ni kama
haikujalishi kamwe

helo, waambaje?
ni kawaida yangu kujizungumzia
o, niwie radhi
natumai utaniwia radhi
je, uliwezahama toka ule mji uliyokupoesha?
sio siri kuwa mi na we
tunapitwa na masaa

(chorus)

helo helo
helo, helo
helo, helo
helo, helo
helo, helo


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...