lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ali kiba – habibty

Loading...

(yogo on the…)
sijawai kuwa muongo
sijawai kuwa fyongo
dhambi bure za nini?
twarudi kwa udongo

oh baby, my cherie cherie
hunijaza maji mbili
hakuna mapenzi ya watatu
unakwama wapi unafeli

ni wivu gani au ni kitu gani
hatuelewani lolote
kwani kisirani niko mashakani
na date vipi hawa wote

endapo hunifuati
hio namba ikiliko ikate
wengi wananimezea mate
ooh mi ndio baby yako pekee

aiii, oh my, aai oh my
akili yangu unaigonga
jinsi wanakupenda unakoma
baby
habibty, habibty, habibty
habibty, habibty, habibty
habibty, habibty, habibty
habibty, habibty, habibty

[khaligraph jones]
kwako mi nishabigy hadithi za wanafiki no
voice yako clarity
~~~~
~~~

aiii, oh my, aai oh my
akili yangu unaigonga
jinsi wanakupenda unakoma
baby

habibty, habibty, habibty
habibty, habibty, habibty
habibty, habibty, habibty
habibty, habibty, habibty


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...