lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu zanton – kisiwa cha malovedavi

Loading...

kwakweli nilikuwa napenda sana
mechi za nje za ujana
aliyekuwa mke w~ngu
~n~lia, ah~ah
kwakweli nilikuwa napenda sana vibinti
nakuwahonga mpaka magari
waliyekuwa watoto w~ngu
wanateseka na njaa
mitungi ni kila saa
nyumbani sina time ya kukaa
marafiki nami
night club na mimi oh
sasa nimebaki lonely
track redioni hazichezwi
yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
hata baby haunitaki tena
sasa nimebaki lonely
track redioni hazichezwi
yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
hata baby haunitaki tena
nakupenda, ah~ya
nakupenda sana, baby
nakuihitaji mama~mama
njoo kisiwa cha malovedavi
nilikutenda, ah~ya
nisamehe my baby
nakuihitaji mama~mama
njoo kisiwa cha malovedavi
silewi tena niskize ma~ah
kwani najua pombe ndo chanzo ah
kilichofanya nikutende
dharau kibao ndani ya nyumba hakuna raha
na kw~ngu ulikuwa dhaifu niskize ma~ah
kwani najua kweli ulinipenda ah
watoto w~ngu nliwatenga nisamehe mpenzi, we unasema
sitaki rudia tena
najuta kwa yote nliyofanya
nisamehe na goti napiga, nalia ah~ah~ah
sasa nimebaki lonely
track redioni hazichezwi
yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
hata baby haunitaki tena
sasa nimebaki lonely
track redioni hazichezwi
yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
hata baby haunitaki tena
nakupenda, ah~ya
nakupenda sana, baby
nakuihitaji mama~mama
njoo kisiwa cha malovedavi
nilikutenda, ah~ya
nisamehe my baby
nakuihitaji mama~mama
njoo kisiwa cha malovedavi
uje kwenye kisiwa cha malovedavi
uje tupeane mapenzi
usisahau na wanangu
sahau yaliyopita
na tugange yajayo


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...