lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu young daresalama – jajimento

Loading...

is another one
(heeee)
touch(touch!)
kwanza jiji mtaliona kwa macho
na dar mtakuja kwa passport
leo nina power nitafanya nitakacho
mi ndio judge alafu natoka chapo
napandisha vyeo wana kitaani(jajimento)
natoa kibali cha kula mjani(jajimento)
natoa wanajela waje uraiani(jajimento)
nataka mimi mjue ninaitwa nani(jajimento)
hebu usiwe jajimento
usishauri kuwalafuna ta ghetto
huna hata demu utashauri kuchumbia
mi nina demu alafu nawaza kuhusu kesho
na masela w~ngu wote peponi
huku tunaimba(jajimento)
oya masela wote peponi
huku tunaimba(jajimento)
napandisha vyeo wana kitaani(jajimento)
natoa kibali cha kula mjani(jajimento)
natoa wanajela waje uraiani(jajimento)
nataka mimi mjue ninaitwa nani(jajimento)
ah kama kichaka pewa rungu
wenye chapaa ndo watalinda sungu sungu
serikali za mitaa zote zitaundwa na wanangu
polisi ni taka ~ tema changu
na miraba maregoni lazima italipwa
atayekataa jua ndani atatupwa
aisee mi sina maana(sina maana)
tangu jajimento niliposema legalize marijuana
kila ba medi alipwa mshahara milioni kwa mwezi
na maksudi mi nitakata mishahara ya walevi
siku ya kuzaliwa hakuna maswala ya kazi
na jela siku hii hakupikwi nguna ni wali n~z~
na mwendo kasi zote mimi nitafanya school bus
daladala sitaki tena nitarudisha tena uda
laini upande basi kuja dar uwe na visa
coz mi ndio judge alafu natoka kwa wajanja
street wananiita honorable jajimento
fulani kesho kutwa nakuhitaji uje central
kama mapusha mi naishi nao ghetto
kama soweto(jajimento)
napandisha vyeo wana kitaani(jajimento)
natoa kibali cha kula mjani(jajimento)
natoa wanajela waje uraiani(jajimento)
nataka mimi mjue ninaitwa nani(jajimento)
fungueni barabara mwanaume anapita
sinaga masihara kwenye maswala ya vita
kuchagua biashara ni kuchagua kitita
desa weka kiuno imara utavunjika
jajimento mr mento
mob~ttu seseseko, erick ford
umasikini ndio nini why silipi kodi
tazama maandishi ya chat zenu sipigi hodi
kazi na kazi sio kazi na dawa
msimamo usiweke maji wazi watu watanawa
ju ~~ ukiona hauna kazi akili iko sawa
akili umegawa au labda una akili ya chawa
akili ya hawa kwetu ni godess power
jajimento mr kulimeza instrumental
niguse uwe punching bag la wahuni gheko
mc junusi shika elfu k~mi kachukue dettol
alafu kesho njoo ghetto(jajimento)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...