lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu young daresalama – gari langu

Loading...

dream city, dingaa
hihihihihi…abbah
yeah aha yeah

wewe unaiita bmw, me naiita bima wewe
ukipanda funga mkanda, alafu anza kuvimba wewe
kama mbele snitches wanaona gere
kwanza sh~ll full tank leo ni siku misele

kimya kimya si bomu limeveshwa shuka
jicho nyanya hunioni mpaka nikishuka
billnas nika aliomba kwenye kichupa
gari yenyewe ndo mpya
sijui ka nitaweza mpa

huna dinga alafu unavimba ni ukatuni
demu wa kwanza kuniumiza aling’olewa kwa balloon
sikuamini mapicha picha kama movie
ndo yakafanya nijue plan b ya mapenzi ni sabuni

polisi akisimamisha wala hataki leseni
ananipa salam na pole kwa foleni
sio kinyonge mambling mavyeni vyeni
young dar es salaam kweli kweli

ukiona gari kali hujawahi kuiona
basi ujue hii ndo gari yangu
yenye mziki mkali ikipita utaguna
base lake hii ndo gari yangu
nasema ooh we ah ah gari yangu
ohh weee ah ah gari yangu
ohh weee ah ah gari yangu
ohh weee ah ah gari yangu

we unaita volkswagen mi naita vimba wewe
ukipanda funga mkanda, alafu anza kuvimba wewe
speed ya mwewe inafika hapo mbele tu
sio iconic dar nzima iko yenyewe tu

sio ya mkopo, sio ya baba, ni ya kw~ngu
acha waseme na nyodo bro nimeipata kwa taabu
ma snitch wanatia adabu wakiona naingia club
jinsi imetulia parking basi inavutia ajabu

yeah, bei ya rims tu nanunua vitz
nikikupa bei ya muziki utaniona chizi
polisi akisimamisha anaomba hadi kupiga picha
piga picha baba uende ukavimbe insta

aha, gauge haishuki, vioo juu
hamna kupenda mamluki ni watu poa poa tu
uswazi hunikuti sitaki roho juu
wasije kukw~ngua rangi hawajui bei juu

ukiona gari kali hujawahi kuiona
basi ujue hii ndo gari yangu
yenye mziki mkali ikipita utaguna
base laje hii ndo gari yangu
nasema ooh we ah ah gari yangu
ohh weee ah ah gari yangu
ohh weee ah ah gari yangu
ohh weee ah ah gari yangu

eey mi naipenda gari yangu
vile ikipata hitilafu mi nachachawa
kibubu changu
nitapasua mi niende nikaitibu ipate dawa

kama mwendo kasi
nikanyage mafuta sina wasi wasi, yeah
shida mi sitaki
niko na gari naenda na wakati

ohh weee ah ah gari yangu
ohh weee ah ah gari yangu
ohh weee ah ah gari yangu
ohh weee ah ah gari yangu

hihihihihi..


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...