lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu young daresalama – daresalama

Loading...

i’m looking so boujee
ila kwa ukweli nishaupambaya
my life is like a movie yenye ngumi ile mbaya
ninapete ye gold naweza kuvunja shaya
kuna dem cuppuccino ambaye tu mala~~

ukinipa bill naipiga kama john cena
ile kimtaani mtaani hata hope sina
umeleta utani mwenzio hata akili sina
kwani kitu gani mi n~z~ma mpaka jiji zima

vitu kibao kichwani kama nina uzimu
jinsi navyo rap na vocals wanaingizia jimu
bro hujui hata kunyonga alafu navusha steam
nitakupa namba alafu ukipiga nikukatie simu

w~ngapi wana maswali nimekuja na majibu
nimetoka mbali hadi napokwenda nahisi ni karibu
sometimes namind manguli wanavyonijaribu
ila k~mbe wanamind zaidi vile huwa siwajibu

ni paka rapper rapper anayewatesa watu wazima
toa hizo takataka za watoto wanaotaka kupima
toka chaka tuna charter la dunia mzima
hawajui mi ndo baba nao watoto wananikosea heshima
eeeh, kesha jana yangu nipe tambara
aaah, nakuoza zetu makachara

da da, daresalama
da da, daresalama
da da, daresalama
da da, daresalama

lеo ni leo sio kitoto kidingi
leta nyama hivi vyombo ni vingi
kama ligi weka moto baridi
afu zikizidi ni kwеnda kuchiti

aah unamtaka nani?
badman daresalama here we go
si tunataka money
tutazisaka kokote ziliko

wapi gigy? leta papa
basi mimi hio bill leta hapa
nani? weka sign paka rapa
weka sign dsm weka sign
anataka kuja dsm kasha check out leo dubai
after kwanza january anataka achill hadi july

ni paka rapper rapper anayewatesa watu wazima
toa hizo takataka za watoto wanaotaka kupima
toka chaka tuna charter la dunia mzima
hawajui mi ndo baba nao watoto wananikosea heshima
eeeh, kesha jana yangu nipe tambara
aaah, nakuoza zetu makachara

da da, daresalama
da da, daresalama
da da, daresalama
da da, daresalama

aah unamtaka nani?
badman daresalama here we go
si tunataka money
tutazisaka kokote ziliko

da da, daresalama
da da, daresalama
da da, daresalama
da da, daresalama


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...