lirik lagu wrapcon036 – twende kusaka pesa
intro:0530 wrapcon soldj
~ 2 33 bec amkeni
hook:
oya dingi mida yenyewe hii (oya wazee mwenyewe,naondoka nanyi)
oya kiberiti wapi,kuna kama bakola tatu
napipuka kwanza mazee(oya wazee mwenyewe,naondoka nanyi)
washa iyo kitu,hii ilivyo tena inaonekana njema
verse:
asabuhi na mapema mabegi mgongoni,misili makomando wa tanganyika
siunajua hatuogopi vita,napoleoni mwenyewe alishuhudia
mdogomdogo kama tulivyo,kama tatu vile
mastori ya ushindi,vicheko vingi zidi fisi mapangoni
mlangoni ndani ya more fire,kama tulivyo kaya
tunahama kaya,ndani ya mf~ko 100000 ndio kituo cha mwisho
mamwizi hatuwazi tuko nafuraha zidi ya mama mchungaji disko
tukaingia ndani ya bus kubwa,safari bado changa
hook:
oya dingi mida yenyewe hii (oya wazee mwenyewe,naondoka nanyi)
oya kiberiti wapi,kuna kama bakola tatu
napipuka kwanza mazee(oya wazee mwenyewe,naondoka nanyi)
washa iyo kitu,hii ilivyo tena inaonekana njema
ndani ya mitaa flani flani,wadau tumetimba
kichwa wrapcon nipo kama timba zaidi rastamsaka fedha
kiongozi ndio mwenyewe,mimi na wewe bado hatuelewi
mikononi mwa wazee marafiki jamii,bado kila jioni na asubuhi
mwanangu tembeza upendo,bora niwekaya niwehayatu
jana yule jamaa kazingua tena mzigo,wrap tayari mali mwaka
ooh yaah bora lost mchizi,hizi cost kukaa om wrap
michanganyo nikikanyaga klach tu mwendo nishazidisha
hook:
oya dingi mida yenyewe hii (oya wazee mwenyewe,naondoka nanyi)
oya kiberiti wapi,kuna kama bakola tatu
napipuka kwanza mazee(oya wazee mwenyewe,naondoka nanyi)
washa iyo kitu,hii ilivyo tena inaonekana njema
verse:
mitaani bila kuhanya,hakuna kukanyaga waya
utawashwa mchizi,wrap nilivyofundi nakuna unataka tena
bado mihangaiko ya kusaka pesa,mchafu bado naoga
nusu kama niko uzoo,wengi huniona nanavyo elea kwa anga
w~nga hukosa wazo wakiona muziki wa ukweli ni hip hop
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu awesome city club – lullaby for tokyo city
- lirik lagu kyd purch – switch it up
- lirik lagu mavis staples – all in it together
- lirik lagu aidan bissett – different
- lirik lagu simone (deu) – sie brach jedes tabu
- lirik lagu state of regression – always
- lirik lagu ekdev limbu – aa hai
- lirik lagu big science – blind our eyes
- lirik lagu oak$hawn – wavy.
- lirik lagu product of waste – crook with a badge