lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu wangechi - sana sana

Loading...

[intro: w-ngechi]
sana sana mi
sana sana sana sana mi huw-nga
yule dame, yule dame, yule dame
yule dame, yule dame, yule dame
okay, twende

[verse 1: w-ngechi]
nilipanda juu bila shaka
si walisema nikihama nita-blunder
i can do it on my own, i’ma murder
everything that i’ve been with it from the start up (eish!)
but i brush it off na mswaki
mi nasaka hizo dooh za mlami
ndio niwachane na story za rap
nijenge nyumba kwa bahari nikipush ma-hummer
still pull up in the scene ka kafiri
the love put me up here, si majini
so i’m just tryna make this work mara mbili
maybe in this next try, i’ma make a k!lling
but anyway, it’s god unchanged
this new flow that i cup’s gonna leave a stain
and i’ma put to everybody that i ain’t the same
and sometimes i’ma change, hope you hear me saying that

[hook: w-ngechi]
sana sana sana mi huw-nga
dame wa ma-spliff na maganja
sana sana sana mi hupenda
kucheza hip-hop ama ragga
sana sana sana mi huw-nga
chini ya maji, hutanipata
sana sana keep it on the regular (yup!)
me, i keep it on the regular

[verse 2: scar]
sana sana mi siko ukinisaka mchana
usiku sacco – jaba, njugu, kuchangamkanga
ndio msupa akijipa nachapanishanga
anabaki akiwika ‘scar usikae sana!’
maisha east ni noma huwezi survive, hama
lakini at least mi naona ya leo si ka ya jana
ju tuna-risk wakora, ka si ma-beast kwa corner
wanaku-frisk ni kama wanakudai bana
kila design imeweza na washatii
we mwenyewe huwezi cheza unataka team
mi ndio nilitumaga redsan kwa sapee
ka unanitafuta we tembeza mtaa za east
so let it be known i came with the family
rende ni rong, we’re nothing to play with
ndani ya zone mashash malawi
cause i’m bad to the bone, you can’t compare me, yeah

[hook]
sana sana sana mi huw-nga
n-gga wa ma-spliff na maganja
sana sana sana mi hupenda
dame wa ma-hips na mahaga
sana sana sana mi huw-nga
jiji na bado hutanipata
sana sana sana on the regular
me, i keep it on the regular

[verse 3: w-ngechi and scar]
sana sana sana ni ni yule dame
i keep it on the low, sipendangi fame
but mi napenda cash na ma-dollar
na hawa machali player player, maradona
na sana sana sana mi ni yule guy
mwenye unadai toka east, mi sikudanganyi
niko na grudge na ma-beast, siwezi kuji-hide
juu ya kuvuta ngwai kwenye streets, siwezi ku-deny
basi twende dutch 50-50
sibongi story za ma-bill kama blinky
yaani mi namada eight ukispit eight
ngoma itashika, fans watakula bait
washakubali ndio maana wamajitoa race
si ni wenyeji hawa mafala ni ma tourist
mzee mzima sikimbizwi
lazima nijitaje ndio verse iishe fiti, scar

[hook: w-ngechi and scar, (both)]
sana sana sana mi huw-nga
dame wa ma-spliff na maganja
sana sana sana mi hupenda
dame wa ma-hips na mahaga
sana sana sana mi huw-nga
chini ya maji, hutanipata
sana sana keep it on the regular (yup!)
me, i keep it on the regular


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...