lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu wakadinali – juzi hosi

Loading...

juzi hosi, juzi hosi
jusi hosi tulifanya crime scene juzi hosi
(eyuh chino, you again?)

juzi hosi, tulipeleka msee amenyembishiwa
juzi hosi, tulifanya crime scene
juzi hosi, yeah yeah
juzi hosi, vijana watoxic, vijana wabaya
juzi hosi

juzi hosi, tuli~peleka msee amenyembishiwa
juzi hosi, yeah yeah
juzi hosi, vijana watoxic, vijana wabaya
juzi hosi juzi hosi

mi na huzzy yako, hatupatanangi
naroll vifresh munga ah naroll kiplani
uh uh uh mwiki kasarani
waliniwekea suk~ma wiki kwa sahani
shandwa ghetto, uh labda getho
idhaa ya kudungwa kanisani siko
niliwapata na kimali nikaitupa huko voi
poor connection mtandao uh siwaoni siwaoni
avoid me nitakupeleka hosi
hosi hosi hosi!!
eh siku hizi ni jaba n~z~chok kahaba w~n~lamba
stoko inapigwa mchana wakati soko imejaa tu wamama
ghetto si kuna madrama nnje ya kanisa ndo kunauzwa jaba
kwa kona pedi anaweza nunua mweke bahasha
si ndo warong si hukimbiza mabang’a
pah pah wakiendaga
strictly mi sibishani na makanga
kunidiss ni matanga unapanga
naitwa buchiman mi huwaadress na mapanga

nakulanga matwada, si tukirepeat kinini kinanyamba
harufu na sauti inafanya una ulal
mi hushinda ni back si nalearn kuzichapa aah
si biz mi biz so usinishike ukinipata na riz
plus mi si mwizi ju shingo vidole nimejaza mambling

juzi hosi, tulipeleka msee amenyembishiwa
juzi hosi, tulifanya crime scene
juzi hosi, yeah yeah
juzi hosi, vijana watoxic, vijana wabaya
juzi hosi

juzi hosi, tuli~peleka msee amenyembishiwa
juzi hosi, yeah yeah
juzi hosi, vijana watoxic, vijana wabaya
juzi hosi juzi hosi
ey ey ka uko kwa jungle tough as rambolyrics toka kitambo
mimi ninaspit nyi mnafumble
mamwere kutoka kitambo

hii ni sweet tequila mango
nakunywa hadi side za kiganjo
walipullup na vitz tulipull up na prado
vile tulikuwa tu na mambo
bling kwa shingo, neck vidole mapetco
niko na mamorio wamechafua hadi madental

wasted positive kwa track tested
negative track reckless
eh juzi hosi, juzi hosi
sick tepla munga juzi hosi

juzi huskii hio senke teketeke
peleka msee amenyambishiwa na kcf
subaru ya mambaru mama lucy hosi
chafua scene, nimeingia fc
dci, ocs wanadai nimewachai mablue
matape ma c

uh juu ya walenje vibenje
kamenje tumeshin inatrend
buruburu stenje
cheki mamboto kwa magshot
pah pah pah pah before uget shot
commercial, commercial commercial
usipande nganya panda moshogi
makanga ni wa crew watakuacha uduu
pale roysambu napiga mahesabu
za kuwanyita doggy sambu
tututu kalash ni kovu, arif ya kovu

juzi hosi, tulipeleka msee amenyembishiwa
juzi hosi, tulifanya crime scene
juzi hosi, yeah yeah
juzi hosi, vijana watoxic, vijana wabaya
juzi hosi

juzi hosi, tuli~peleka msee amenyembishiwa
juzi hosi, yeah yeah
juzi hosi, vijana watoxic, vijana wabaya
juzi hosi juzi hosi


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...