lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu wakadinali – blow me kisses

Loading...

blow me kisses whichever distance
we zirushe hata ka ni mbali nitaenda
mtu wako mbona anakondaga mbaya anawaza mbona
kila kitu chako napenda

blow me kisses whichever distance
we zirushe hata ka ni mbali nitaenda
mtu wako mbona anakondaga mbaya nawaza mbona
lakeside woman, lakeside woman

yoh nikibuy vodka whiskey ndo chaser
kuna line flani munga nadai kurudia tena
nina deng’a kwa vip rashid echesa
hii ndio line siwezi kuwa mcooperative na teller

mresh ameoga na haringi
naitw~nga rasta mi sina ya bingii
corona virus na siko china
man nimekam thru na a simple like man

ulinifanya nithrive
nakupenda uko kwa mawazo siku hizi si rhyme
nilikupenda sana btw thanks
aftеr kukuwa my partner in chrime

blow me kissеs whichever distance
we zirushe hata ka ni mbali nitaenda
mtu wako mbona anakondaga mbaya anawaza mbona
kila kitu chako napenda
blow me kisses whichever distance
we zirushe hata ka ni mbali nitaenda
mtu wako mbona anakondaga mbaya nawaza mbona
lakeside woman, lakeside woman

mashallah girl you always on my mind
you always on my mind
you’re beautiful smooth and kind
girl ukismile unakaa so fine

na mpenzi makerubi kaumbika amejaza
kama toil mwisho wa mwezi
ayaya i hate and i love when you drive me crazy
cheza chini mama we si namble we si razy

hananga maringo ako kaloleni
hata umpeleke city stadi si mchezi
wengine nitawatupa kama taka ndani ya begi
mami umenishanda na mapenzi kama vedi, peddy

blow me kisses whichever distance
we zirushe hata ka ni mbali nitaenda
mtu wako mbona anakondaga mbaya anawaza mbona
kila kitu chako napenda

blow me kisses whichever distance
we zirushe hata ka ni mbali nitaenda
mtu wako mbona anakondaga mbaya nawaza mbona
lakeside woman, lakeside woman
mashallah girl you always on my mind
you always on my mind
you’re beautiful smooth and kind
ma ukismile unakaa so fine

mpenzi makerubi kaumbika amejaza
kama toil mwisho wa mwezi
ayaya i hate and i love
when you drive me crazy
cheza chini mama we si namble we si razy

hananga maringo ako kaloleni
hata umpeleke city stadi si mchezi
wengine nitawatupa kama taka ndani ya begi
mami umenishanda na mapenzi kama vedi, peddy

blow me kisses whichever distance
we zirushe hata ka ni mbali nitaenda
mtu wako mbona anakondaga mbaya anawaza mbona
kila kitu chako napenda

blow me kisses whichever distance
we zirushe hata ka ni mbali nitaenda
mtu wako mbona anakondaga mbaya nawaza mbona
lakeside woman, lakeside woman


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...