lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu vivian kenya – chachisha

Loading...

chachisha
tumekuja tu kuchachisha
vivian, sosuun
tumekam tu ki~rende
sisi ndo wale madada wembe
tumekuja kutesa, tesa, tesa
whoooaaa
ni kama k~mekucha
wasichana tengeneza kucha
na mukuje na gari mafuta
leo ni kuparty hadi kucha
usinishike ka we si afande (afande)
songa mbali toka yangu upande (upande)
kaa na mikono yako usinibambe
sipangwingwi labda nikupange
whaaaooo
supuuu

wanashinda wakiniita msupu
wanafanya hata najishuku
kwani ni nini nafanya huku
kama ni wine mi ni fine wine
kama ni time ni nabuy time
kama ni line usicross mine
ju mimi si wa mutu
chachisha
tumekuja tu kuchachisha
tumekuja tu ku chacha
chachisha
tumekuja tu kuchachisha
tumekuja tu ku chacha
chachisha
tumekuja tu kuchachisha
tumekuja tu ku chacha
chachisha
tumekuja tu kuchachisha
chachisha, chachisha
miguu ndogo but kila nikistep wanafeel
main chick, aka mistari tycoon
nimebeba bunda ya doh
bigi ka haga ya rispеr (si ye ni wife wa razy)
mafisi wanawhisper
handеle handele mama, iya iya
hapa ndani tumekuja kuchachisha chisha
leta double kila kitu naitisha tisha
viv mbona meza yetu haina sheesha sheesha
sssshhh ah ah ah ah
me and my girls just wanna have some fun
piga sherege kikanairo rombosa
tunatesa, tunatesa poa na tuna pesa
na hio attitude pole sana
you know you can’t hang with us
no wayyy
hapa ni good vibes, tubapenda good life
yolo mtu w~ngu jinyce
chachisha
tumekuja tu kuchachisha
tumekuja tu ku chacha
chachisha
tumekuja tu kuchachisha
tumekuja tu ku chacha
chachisha
tumekuja tu kuchachisha
tumekuja tu ku chacha
chachisha
tumekuja tu kuchachisha
chachisha, chachisha
tumekam tu ki~rende
sisi ndo wale madada wembe
tumekuja kutesa, kutesa
tumekam tu ki~rende
sisi ndo wale madada wembe
tumekuja kutesa, tesa, tesa
chachisha
tumekuja tu kuchachisha
tumekuja tu ku chacha
chachisha
tumekuja tu kuchachisha
tumekuja tu ku chacha
chachisha
tumekuja tu kuchachisha
tumekuja tu ku chacha
chachisha
tumekuja tu kuchachisha
chachisha, chachisha
tumekuja tu kuchachisha
tumekuja tu ku chacha
chachisha
tumekuja tu kuchachisha
tumekuja tu ku chacha
chachisha
tumekuja tu kuchachisha
tumekuja tu ku chacha
chachisha
tumekuja tu kuchachisha
chachisha, chachisha


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...