lirik lagu vijana wenye nguvu – nimebadilishwa
nimebadilishwa lyrics
verse #1
nilipokuwa chini, yeye kaniinuwa. wakati w~ngu wa shida kanifariji
( marvelous love )
upendo waku shangaza
( marvelous love)
hmmm…
ninaishi kwa neema yake mungu
ninaishi kwa neema
ninaishi kwa neema aah…
kwa neema, kwa neema
chorus:
kwa neema tumeokolewa, aah, aah, aah
sio kwamatendo, bali ni zawadi kutoka kwa mungu. maana sisi ni kazi ya mkono wa mungu
verse #2
anitiaye nguvu mimi ni yesu christo, muhumba wa mbingu na inchi ( nguvu zangu zatoka kwake )
nimetolewa mavumbini mimi
( kwa neema)
nilikuwa mbaya nikitenda mabaya
kanitowa ubaya nikawa mzuri ili niuridhi ufalme wa mbinguni
nimekombolewa kwa neema yake bwana
chorus:
nimebadilishwa kwa neema, nimefanywa upya kwauruma zake
nimewekwa huru
yeye ni mungu
atupae nuru
( nuruuu )
verse #3
nuru x2 uh~u~u
hacha walimwengu wani shange hee, nime oko lewa na yule shujaha, simba wa yuda
nij~po pita kati ya bonde la uvuli la mauti sita ogopa kabisa maana ni naye mungu
ninaye baba, baba aaa
kwane neema nime okolewa, kwa neema aaa
chorus:
kwa neema tumeokolewa, aah, aah, aah
sio kwamatenda, bali ni zawadi kutoka kwa mungu. maana sisi ni kazi ya mkono wa mungu
————
nimebadilishwa kwa neema, nimefanywa upya kwauruma zake
nimewekwa huru
yeye ni mungu
atupae nuru
( nuruuu )
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu revive – スタビライザ (stabilizer)
- lirik lagu janis ian – love is blind [live]
- lirik lagu laura londoño – gaviota
- lirik lagu miranda lambert – strange
- lirik lagu somma & yuma – how would it feel
- lirik lagu bleak soul – denver 2018
- lirik lagu the weather station – song
- lirik lagu ch4ltrey – spotlight
- lirik lagu sgpwes – idgaf
- lirik lagu nate a-eshun – heartbreak 101