lirik lagu tuphy – haujapatikana
tuphy ~”hauj~patikana”
asali ya mapenzi umevuruga,umemwagia dona
kidonda nilochonacho juu ya penzi lako hakij~pona
nimejaribu nikupigie,simu yako hupatikani
nimejaribu nikuimbie wenda utanisikia hewani…
(semichorus)
tungedumu mpaka leo
uwe mke mi mmeo
penzi umelishusha vyeo
natapatapa ila
(chorus)
hauj~patikana
oh owh owh
hauj~patikanaaaa
uye ye ye
uye ye
hauj~patika ah
oh owh owh
uye ye ye
uye ye
verse2:
sema bebi nilichokutenda unanipa noma iyoo..
kipi zaidi nilichokutenda ukaniumiza roho..
nyota hainga’ai beibe we ndo tabibu
(tabi tabi tabi)
chupa linapoza chai beibe
oh majaribu
(ye ye)
semichorus)
tungedumu mpaka leo
uwe mke mi mmeo
penzi umelishusha vyeo
natapatapa ila
(chorus)
hauj~patikana
oh owh owh
hauj~patikanaaaa
uye ye ye
uye ye
hauj~patika ah
oh owh owh
uye ye ye
uye ye
(bridge)
tungedumu mpaka leo
uwe mke mi mmeo
penzi umelishusha vyeo
natapata tapa ila
chorus
hauj~patikana
hauj~patikaana
hauj~patikana
hauj~patikaana
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu purr – avenue bliss
- lirik lagu joaco, ezekiel – sigo pensándote
- lirik lagu dimèji – drama
- lirik lagu mahy – bir deli’nin kalemi
- lirik lagu a fallen mind – in black flame
- lirik lagu logalicous – ride or lolo
- lirik lagu greeny – aaa
- lirik lagu duvy – yuh digg
- lirik lagu asa quana – nigerian god
- lirik lagu aissa [@aissa.aslani] – otra vez