lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu timmy tdat – why me

Loading...

msaka tonge niko streeti, naisaka doh
ndo naanza mziki na bado sij~pata show
niliambiwa kuwa elimu ni ufunguo
mbona nimesoma, au niliyo nayo si ya mlango huo

huh, popote n~z~saka chambi
shida zingejenga mwili ningeota kitambi
madada wa kitaa wanaona nyea kambi
utawasikia, mwizi bwana gani huyo mvuta bangi

hawa mabeste waafrika
kuitwa kuigiza maisha feki huko insta
chapaa naitafuta ila bado haijalipa
nimiliki manzee msupa kama vera sidika

why me, why me, why me
kila nachofanya kinakuwa zogo
why me, why me, why me
napambana wala si kidogo

why me, why me, why me
ata marafiki wamekuwa mbogo
why me, why me, why me
why me, why me, why me

yeah, sina fare toka inda natembea
nina mkidi home natry k~mlea
mathe pia, haezi tembea
huh, mi na shida tushakuwa kama pair
napiga chuom nakutana na afande
shili nyamwa anataka tu kipande
sina phone manze sina hata kabambе
nitawaambiaje home leo nalala rumandе

ni ati tunataka hizo brand new car
wacha kutujudge na vile si hukaa
tulisha reform tulibadilika
tupatie chance tukajenge jina

why me, why me, why me
kila nachofanya kinakuwa zogo
why me, why me, why me
napambana wala si kidogo

why me, why me, why me
ata marafiki wamekuwa mbogo
why me, why me, why me
why me, why me, why me

huh faraja ndo after dhiki
ya daraja sipitiki
kabla ata saa mbili
wanasemaga ni sisi

ukimwaga jasho alafu upate doh
hiyo ni mori
ukihustle hadi ukate moyo
hiyo ni ngori
nimeacha pang’ang’a na napambana nang’ang’ana
maana, hawa mbang’a washenzi sana
bado nahustle sij~pata doh
namwaga jasho ka gorocho kariakor

aaah eeh, namwomba mo~la
promoter apige simu za show
salary ndo inaleta temptation
na makarao wana bado wanataka attention
so tafuta kasabuni, ukaspend bunda kitaa bamba
na mbio za sakafuni sio za punda

why me, why me, why me
kila nachofanya kinakuwa zogo
why me, why me, why me
napambana wala si kidogo

why me, why me, why me
ata marafiki wamekuwa mbogo
why me, why me, why me
why me, why me, why me

vicky pon this

kila nachofanya kinakuwa zogo
napambana wala si kidogo
why me, why me, why me
kila nachofanya kinakuwa zogo
why me, why me, why me
napambana wala si kidogo

why me, why me, why me
ata marafiki wamekuwa mbogo
why me, why me, why me
why me, why me, why me
kila nachofanya kinakuwa zogo
napambana wala si kidogo


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...