lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu theonlydelo – cheza

Loading...

cheza na hiyo kitu na unajua ni ya jana
cheza na hizo mbichwa macho
coloured yaani nyanya
cheza biz ya doo najua hatuwezi kosana
nacheza tu vilow kazi ni kusoma rada

cheza na hiyo kitu na unajua ni ya jana
cheza na hizo mbichwa macho
coloured yaani nyanya
cheza biz ya doo najua hatuwezi kosana
nacheza tu vilow kazi ni kusoma rada

yule kijana mmoja gaidi
sana sana tena zaidi
ninakazana kisha mi tina
nikifika bei naskia fiti

naipiga kwenye bed kisha juu ya kiti
shh ndani ya kitu shh ya titi
change position kaa unapiga dekii
na ukule hiyo haga ka unakula keki

na ukuwe rada jo juu unaweza bleki
kiki kiki do you love
apana tambua hizo jo mi si mlami
hotter than the sun fika jo miami

ubaya na majuu huwezi pata jo majani
kunitoa base ni kunipa mtihani
twende mtaa beb nikupe mti yaani
nakushika koo unaweza dhani mi sijali

cheza na hiyo kitu na unajua ni ya jana
cheza na hizo mbichwa macho
coloured yaani nyanya
cheza biz ya doo najua hatuwezi kosana
nacheza tu vilow kazi ni kusoma rada

cheza na hiyo kitu na unajua ni ya jana
cheza na hizo mbichwa macho
coloured yaani nyanya
cheza biz ya doo najua hatuwezi kosana
nacheza tu vilow kazi ni kusoma rada

cheki wanatii wanajua mi ni odinari
dem yako yatinaa aking’oa ni vibare
odi odi kaw~ngware vijana sugu namba nane
wakisha kitu kg leta nare

na madem wainame injection ya sare
funga bao kama nane na wapige nduru
nimewageuza manugu
na tukimunju wanageuka mabubu anapiga magoti

unaweza dhani wanaabudu
anadai nimwage ndani
njugu njugu ni kijana wa kambi fulani
jamuhuri si wa leo si wa jana
wala jo si wa juzi onlyonedelo

cheza na hiyo kitu na unajua ni ya jana
cheza na hizo mbichwa macho
coloured yaani nyanya
cheza biz ya doo najua hatuwezi kosana
nacheza tu vilow kazi ni kusoma rada

cheza na hiyo kitu na unajua ni ya jana
cheza na hizo mbichwa macho
coloured yaani nyanya
cheza biz ya doo najua hatuwezi kosana
nacheza tu vilow kazi ni kusoma rada

songa na idhaa busaa j na mkalla
wakuu family hao sasa ndio wakanda
shuka na madam mjulubeng’ ukiwa
zimenishika zimenishika manze jo nina dawa

si ati ju nina bars unibebe mimi mlevi
mi rada na mashash macho nyanya kuliko pedi
napendaga ile safi nikipiga nina medi
na story za wasafi tulirudisha tz

before this fame nimesumbuliwa na ma mbang’a
na kama si fame story ingekuwa ya madaga
i find this lane kuhudumiwa na waganga
machungu so lime bora jah ananipendaga

shout out to my mama ujue milele ntakupenda
shout out to the months zile zote umenibeba
shout out to the ladies wale wote nimekemba
shout out to my wife she is the last body bender

cheza na hiyo kitu na unajua ni ya jana
cheza na hizo mbichwa macho
coloured yaani nyanya
cheza biz ya doo najua hatuwezi kosana
nacheza tu vilow kazi ni kusoma rada

cheza na hiyo kitu na unajua ni ya jana
cheza na hizo mbichwa macho
coloured yaani nyanya
cheza biz ya doo najua hatuwezi kosana
nacheza tu vilow kazi ni kusoma rada


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...