lirik lagu the nine c – penda jirani
Loading...
acha fitina
acha kuteta jirani yako ndugu yangu
kwa sababu shida iki kupata
yeye ndiye ataku sahidiya wa kwanza
oooh ooh
mungu anasema
penda jirani
penda jirani
acha chuki acha uongo
ina leta matenganyo kati jirani
tafuta masikilizano
oooh ooh
mungu anasema
penda jirani
penda jirani
mwenye anapenda ndugu yake
ana ishi katika mw-ngaza
ooh oh
uta sema jee una penda mungu
kama una chuki kwa jirani
oooh ooh
mungu anasema
penda jirani
penda jirani
wewe ambae ume pata neema
yaku sikiya mwimbo iyi badirika
ukisha mpenda
ata kama yeye aku pendi
uta barikiwa na mungu
penda jirani jinsi unaji penda
timiza neno la bwana mina kuomba
usi chunge wakusifu kwa unacho tenda
penda kwa ukweli popote unapo enda
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu indah dewi pertiwi – kangen
- lirik lagu merpati band – cinta kandas tiada terbalas
- lirik lagu saint loco – di balik pintu istana
- lirik lagu raina – semua berbeda
- lirik lagu letoya luckett – together
- lirik lagu gillan – vengeance
- lirik lagu lee simeone – yours nocturnally
- lirik lagu gillan – running white face city boy
- lirik lagu caterina valente – what a difference a day makes (cuando vuelva a tu lado)
- lirik lagu harmonium – harmonium