lirik lagu the moipet quartet – pole musa
Loading...
musa nimevumilia sana
musa nimevumilia sana
kupigwa pigwa kama mimi punda
na sura yangu imeharibika
na ngumi zako za kila siku musa
taabu…
taabu…
taabu
kweli musa,
uliponioa
sura yangu,
haikuwa na alama
hata moja
nilikuwa na afya nzuri
nilinona
kama ngoima
ya kirige
kweli musa,
uliponioa
sura yangu,
haikuwa na alama
hata moja
nilikuwa na afya nzuri
nilinona
kama ngoima
ya kirige
oye, oye, tafadhali musa
tafuta bibi atakayeweza
kuvumilia hizo tabia zako
ukinywa pombe wamnywia yeye
ukinywa munyeke wamnywia yeye
pole…
pole…
pole.
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu mud shark – lend me your ears
- lirik lagu zak diesal – the hills
- lirik lagu christian antblad – rudolf med röda mulen
- lirik lagu ove – orange röd röd
- lirik lagu arthur beatrice – who returned
- lirik lagu rick ross feat. mary j. blige – very best
- lirik lagu juan gabriel feat. carla morrison – yo sé que está en tu corazón
- lirik lagu thalía & fat joe – tranquila
- lirik lagu zin kim feat. adrijana – sommarsaga (feat. adrijana)
- lirik lagu solar fake – you need the drugs