lirik lagu the moipet quartet - pole musa
Loading...
musa nimevumilia sana
musa nimevumilia sana
kupigwa pigwa kama mimi punda
na sura yangu imeharibika
na ngumi zako za kila siku musa
taabu…
taabu…
taabu
kweli musa,
uliponioa
sura yangu,
haikuwa na alama
hata moja
nilikuwa na afya nzuri
nilinona
kama ngoima
ya kirige
kweli musa,
uliponioa
sura yangu,
haikuwa na alama
hata moja
nilikuwa na afya nzuri
nilinona
kama ngoima
ya kirige
oye, oye, tafadhali musa
tafuta bibi atakayeweza
kuvumilia hizo tabia zako
ukinywa pombe wamnywia yeye
ukinywa munyeke wamnywia yeye
pole…
pole…
pole.
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu wendy lands - the soul of saturday night
- lirik lagu skrux - you & me
- lirik lagu altered sky - livewire
- lirik lagu ove - blå hallen
- lirik lagu wendy lands - holding on to letting go
- lirik lagu don osvaldo - guarango
- lirik lagu roy kim - the lullaby
- lirik lagu asian kung-fu generation - 遥か彼方 (2003 渋谷クラブクアトロ)
- lirik lagu alex caton - close the coal house door, lad
- lirik lagu celeste betton - something in the water (the voice performance)