lirik lagu the humbled tanzania – yanatisha
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ukweli bwana ni wa ajabu
matendo yake ni ya ajabu
ukweli bwana ni wa ajabu
matendo yake ni ya ajabu
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k~mtii
yanatisha yanaogopesha yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k~mtii
unapokosa nguvu ya kwendelea
umwendee yesu
ana nguvu ajabu
nguvu zake mungu
zaweza tenganisha mwili na roho
ziliumba ulimwengu
zashangaza ajabu
yanatisha, yanatisha yanatisha
yanatisha, yanatisha, yanatisha
yanatisha, yanatisha yanatisha
yanatisha yanatisha yanatisha
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ni mungu wa huruma
ni mwingi wa rehema
ni mungu wa furaha
ana nguvu ya kubariki
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k~mtii
yanatisha yanaogopesha yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k~mtii
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu ksnie – ariel
- lirik lagu t-low – hol mich hoch
- lirik lagu huts – alone
- lirik lagu dba james – sink 2
- lirik lagu francesco guccini – quella cosa in lombardia
- lirik lagu janna pelle – sense
- lirik lagu dominic behan – johnny redmond
- lirik lagu нимах – свет
- lirik lagu sto – la suite
- lirik lagu the noise unheard – feet up