lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu stamina – machozi

Loading...

oy niaje mwamba samahani nakusumbua
naomba usikate simu taratibu utanijua

nampigia mke w~ngu naona hapokei simu
ila najua umelala nae sorry na kukata stimu
na unanijua na unajua si ni wazazi
naumia kuona wanangu w~n~lala na dada wa kazi
na usiulize namba yako nimeitoa wapi
naomba uskize mi ni mumewe wa ndoa na chati
kwanza nikupe pongezi we mjasiri
mi kulala na mke wa mtu siwezi
unapata nguvu ipi kuipa hayo mamlaka hayo
mume wake yu hai hajafa haja pa talaka
alafu naskia na sound umechoka sana ndio
mshamaliza round ya kwanza au sio mwana
wakati mi nalala mito we unaenjoy unamkunja kama kiko
vipi mtamu eeh kanona eeh
nagharamika bro sijui kama unanisoma aisee
najua unampenda sababu unamhudumia ukitaka
nikuachie bro uone jinsi nnavyoumia
kama kidume cha mbegu kesho nikuletee watoto uwalee
na mke w~ngu unipunguzie msoto inaniuma
nimemhudumia nimempa thamani zamani
nakuhakikishia ungemwona haungemtamani
kama anasema ndoa imekuwa daah changamoto
au anasema tumeachana anabaki tunalea watoto
sorry salio inakata anaweka vocha nakupigia ili unipe
simu niongee naye huyo mshеnzi wa tabia
kama binadamu nina moyo sio chumba naumia
machozi yanitoka nashindwa vumilia
natamani niondoke hata kwenye hii dunia
maana hеshima yangu we umeshindwa nitunzia
unaniumiza moyo eeeh
akili yangu haisomi eeeh
umenishusha thamani eeeh
nadharauliwa mtaani eeeh
pole sana kwa uchovu pole kwa kazi nzito
ya kubeba pombe ya ndovu
najua ulipanga unidanganye boya lako kuwa party
illisha late ukalala kwa shosti ako
kukuita malaya sitoweza umenizalia watoto
ila heshima unaipoteza
j~po mambo unayofanya kiasherati we sio smart
umesahau una familia au na watoto huwataki
okay tuseme sikuridhishi kitandani anayetoa
kodi ya meza hapa nyumbani ni nani?
unadhani watoto watakuwa tu s~x yetu
au nikikosa hela utalishwa na bwana yesu
zile make up kusuka wanna saluni
ungezipata wapi nisingekaza kisa uni
hata kama sio handsome nilitimiza majuk~mu
sasa huyu atakuwa nini zaidi ya kukulisha ndumu
wazazi waliposema kuwa tukapime dna
nilisema wamezeeka hawa wazazi tza
sahivi naelewa kila nikiwacheki watoto sura yangu
inakuja inaondoka changamoto
ukirudi nyumbani chukua kilicho chako
tena ikibidi nenda na watoto wako
nauonea huruma huo mf~ko wako wa uzazi
ungekuwa mf~ko wa kawaida ningeshaubebea viazi
kama binadamu nina moyo sio chumba naumia
machozi yanitoka nashindwa vumilia
natamani niondoke hata kwenye hii dunia
maana heshima yangu we umeshindwa nitunzia
unaniumiza moyo eeeh
akili yangu haisomi eeeh
umenishusha thamani eeeh
nadharauliwa mtaani eeeh


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...