lirik lagu spice diana – upendo
(spice dina)
umepata mabinti lakini
mimi napiga kama kush
nimeshika maboss wa kampala
wote nikawa~crush
jina langu ni diana
nilikuwona toka jana
sasa kama tumekuta
kila kitu baby we are gonna do
upendo oooh, upendo oooh
upendo sio magic huu ni upendo
upendo oooh, upendo oooh
upendo sio magic huu ni upendo
(zuchu)
mapenzi, mapenzi
yamenizidi kwa kichwa
me mwenzu siwezi
mapenzi, mapenzi
yamenizidi kwa kichwa
tena mwenzu siwezi
akinipa karroti naidandia
naikula kavu kavu
na visamba soti umainulia
aichane mpaka nyavu
to the left, kulia (kulia)
atakacho mimi sawia (sawia)
kama kasheti vibagia (bagia)
chachandu uniw~ngia
akinipa karroti naidandia
naikula kavu kavu
na visamba soti umainulia
aichane mpaka nyavu
ameni~touch touch iyoo
amenigusa gusa
vya juu, vya chini, vya nje
vya kati pia
amenigusa gusa
ameni~touch touch iyoo
amenigusa gusa
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu homyes – 2024
- lirik lagu rossa caputo, fabrizio vidale – più di qualsiasi altra cosa
- lirik lagu tek time – gondola
- lirik lagu emma holmquist – me! me! me!
- lirik lagu lifelessgarments – silva
- lirik lagu medsur – vipp
- lirik lagu claudio villa – serenata al mio bambino
- lirik lagu laws – the attic
- lirik lagu aymce – p!nk
- lirik lagu l’august – balles d’argent