lirik lagu spice diana - upendo
(spice dina)
umepata mabinti lakini
mimi napiga kama kush
nimeshika maboss wa kampala
wote nikawa~crush
jina langu ni diana
nilikuwona toka jana
sasa kama tumekuta
kila kitu baby we are gonna do
upendo oooh, upendo oooh
upendo sio magic huu ni upendo
upendo oooh, upendo oooh
upendo sio magic huu ni upendo
(zuchu)
mapenzi, mapenzi
yamenizidi kwa kichwa
me mwenzu siwezi
mapenzi, mapenzi
yamenizidi kwa kichwa
tena mwenzu siwezi
akinipa karroti naidandia
naikula kavu kavu
na visamba soti umainulia
aichane mpaka nyavu
to the left, kulia (kulia)
atakacho mimi sawia (sawia)
kama kasheti vibagia (bagia)
chachandu uniw~ngia
akinipa karroti naidandia
naikula kavu kavu
na visamba soti umainulia
aichane mpaka nyavu
ameni~touch touch iyoo
amenigusa gusa
vya juu, vya chini, vya nje
vya kati pia
amenigusa gusa
ameni~touch touch iyoo
amenigusa gusa
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu mucco - invalide
- lirik lagu alejandro sanz - yo no quiero suerte
- lirik lagu zenith01 - true religion
- lirik lagu neakee - can't see it
- lirik lagu молодой гоголь (young gogol) - xxx
- lirik lagu batuhan kordel & ömer öz - yarım kalan
- lirik lagu antwan mims - mellow memories
- lirik lagu claudio villa - rivedrai santa lucia
- lirik lagu spike priggen - outtasight
- lirik lagu mildterror - vrlngn