lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu smunchiez – moncler puff freestyle

Loading...

ni siku mingi alishindwa kuhush
alikuwa anaongea sana nilimpigia moncler puff

hii story ilibidi imefikia huzzy yake first~hand
lyrically siezi starve hii game nimeivalisha face~mask

baddie nipee head hadi tufike kwa bnb kileleshwa
bacc seat nikikula gunga nikif~kuza masetbacks

ofcos hii nairobi ni chess, bishop akibaki unavurutwa
back otc niko on the move
natrace mc nijue kama hizi mali zitacheza
hawa marapper ni wafunny kaa si kurap ni videvu wanaduck

ni ink tear drops nimelia nikarun dry
vitu hujieleza, bro anamake a living off kuscam, so ukipatikana usijam

hakuwa anadai mambo yangu, lakini after kutokea kwa hood na mndesha sahii ananichekesha
street smart elimu ni ya bure, hauwezi ipatakwingine niite karl marx
we ukiwa higher learning mе nilikuwa high nikilearn

hii si compee, sifai kuflex, kwa beat naonyеsha potential
natema ka missiles zimetoka moscow

maclones kwa streets, twin aliwaonyesha hadi kwa mabirthday party hatuwaneed
hii ni moncler zipper matags ni ka sita, gwedhe inashika na keg si beer

loud ndio najiskizia , noisemaker ever since haungenikosa kwa list
nikienda calif wazing hunipea mawaidha
go~getter so nameet demands za k~mweka

sh~t si easy ni doh inamleta, watu sugu si huf~kuza usingizi na edibles za mabuyu
napiga scene jiji naenda exile makuyu, kwa trap mannu usiwashe maroach
hapo block~d, manew recruits ndio tunawacoach


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...