lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu smart b – tapo tapo

Loading...

tapo tapo hii mchezo ni ya tapo tapo
unadai mistari itisha upewe
kama ni ma pombe kunyua na ulewe
mzinga asali ukailambe eee (ukailambe)
tapo tapo sidai chapo nataka jabo jabo

fom inajipa fom inajileta
fom zimejipa tunaungusha
fom kuomoka story kuomoka
ganji zikifika tunadondoka
mangoko wote hapa wanarombosa
buda boss ebu enda kwa shamba
changia f~gia eka mbolea
pikisha faster wachia donda
pole pole nani zikishika wanatw~ng
pata msupa wekea spank
madem kwa vilabu wanaririma
ka nimangi mh sitanyonga
nikipata lamba mh nitainyonya
mchuna mboga anachuna mboga
akichuna mboga atakula mboga
akiwa mboga atachunwa mboga
akichunwa mboga anakulwa mboga
story za mababa mh nitasare
masaa ni ya ngware
mzinga(nyuki) asali ukailambe
lolo ukipata usipikishe ilale
shika bana usilalishe
ringting nikupee daktari
tingting utaichuna ka sukari
usipikishe ilale siyo sare
hata kaa ni sare wacha itambe


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...