lirik lagu slimsuma – my mainchick story
verse
sio kwamba sina wa kuwapost all day, sio kwamba sina wa kuwacheck all day, sio kwamba sina wakunitext all day, kuniuliza if am good ar am feelin’ anyway
sio amba sina wakunicheck twwnde movie, ambao nikifulia wananitoa hadi michuzi, sio kwamba sina zile namba za ma~ex, ambao ni simu mmoja they can pull up on my face
tatizo unajiona special sana kisa wengi wanakutaka wanakuona we mwepesi, sio kwamba kisa nakupenda sana unalaumu wanakutaka wakichuna unawatext
kwamba we upo busy ama nini?, sa nipange we na ex wako mnachartigi nini?, unajikuta smart ama nini?, maumivu kupokezana leo vimba kesho mimi
design maji ndio yapo shingoni, nipo makini ila maajabu hata sioni, ona naibiwa nipo rindoni, mapenzi yananipiga maajabu hata sikomi
you don’t even show that you need me, you don’t even show that you’re with me, i don’t even know if need me, i don’t even feel when you kiss me
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu константин рязанов (konstantin ryazanov) – чунăм (beloved)
- lirik lagu cisto – scusa
- lirik lagu tmmrw – dream girl
- lirik lagu nle choppa – change for the better
- lirik lagu so clock – horizon
- lirik lagu keko-g – qseng roll
- lirik lagu bigndg – bounce 3
- lirik lagu opium warlords – a heavy heart
- lirik lagu thirty6kealo – wtf you doing?
- lirik lagu c-kan – los que nadie quiere