lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu sir yongo – renee

Loading...

[intro]
sitaki nikufichefiche
let me call a spade a spade
and not a big spoon

it’s sir yongo
oooo…
beautiful music to beautiful girls

ireene
baby, baby, baby

[chorus]
kipenzi irene nakupenda baby wewe
kipenzi irene nakupenda baby boo
kipenzi irene nakupenda baby wewe
kipenzi irene nakupenda baby boo

[verse 1]
mapenzi ni upofu ndio maana sioni
mwenzako naugua naona siponi
maradhi ninayo na dawa ni wewe
usije azizi ukaniachia kiwewe

hayana mjuzi mababu walisema
kubeba na nguvu amini ntakoma
renee muhibu nimekuchagua
nakupa moyo w~ngu ueke chukua
dem kama wewe ni dem wa ki~sure
takubeba melini mpaka mashua
sura ya mvuto utadhani mdoli
na macho yako mithili ya gololi

hivi hujui ya kuwa silali
mara nyingine na chakula sili
mara nakonda mara mnyonge
wewe mtoto please usipinge

mapenzi majani popote huota
na mtima w~ngu ulishauchota
ni kikohozi kuficha siwezi
kipenzi sogea nikupe mapenzi

[chorus]
kipenzi irene nakupenda baby wewe
kipenzi irene nakupenda baby boo
kipenzi irene nakupenda baby wewe
kipenzi irene nakupenda baby boo

[verse 2]
mtoto wa bara nikulete pwani
utazoea mambo uswahilini
mimi ni mdigo pia mgiriama
takupa mapenzi ya kimijikenda
mapenzi majani popote huota
na mtima w~ngu ulishauchota
ni kikohozi kuficha siwezi
kipenzi sogea nikupe mapenzi

[outro]
ireene
baby, baby, baby

you know what…
this is sir yongo

(giggles)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...