lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu sewersydaa mkadinali – chief gwetheist

Loading...

[intro]
ay yo
one~two
man a driller
aha
ay yo
hr pump hio track bana

[verse 1]
nilikuwa joh, makini kwa darasa
nlibeba barbed wire pia ju ya anasa
on toes nikirudi dorm ju ya kishada
alafu nauliza why nlipigwa ex, mi ni insighter
tulishatengana saii tunakufia kisimani
hadi waleo tunangoja boni alilie haki
tusiwai lengana ati juu uko kilimani
niko na denge anataka ati nimtumie za upkeep
flash hio sh~t alafu adisia kiharpic
sheng siku hizi kidogo inaenda kusound spanish
vamos kwa corridor ya kotko ka pattni
easleigh wanajua president wao ni abdi
more fire iletwe nimeshinda nikipepeta haiwaki
ambia chali yako next nikilemewa bahati
raiya si unajua hata ukiwakufia hawakutaki
tutakutumia alafu tukuchukie no cappin’
si hufika wa kwanza kwa scene k~mbe hatukuwa tumeenda
police naskia ndo wamekam kusurvey area
dci wanatumia picha za last year
nacheka nalia brace yourself my dеar
heist by rũciũ vitu zinarudi soko
bass inashika hadi roho inavibrate, tukizaski inooro
hibernatе after kikoro kufichia wasoro
mambo ya mamokoro niliwacha tangu “aha aha”
tangu, tangu nikutwe na mama osoro
baptized with gold siku hizi naitwa brother paul (brother paul)
usipige mara mingi ka nlihata call
in groups of fours kwa hall “mnadiscuss what?”
[interlude]
“mimi nitaenda kwa mada direct. na leo, imebaki elfu nane”

[verse 2]
tupate kibra 4, makina fort lap za ndom
akiba joh, mangive ooh, iliclean it all
if you know you know hii system ni ya macriminal
twende church ama? tusolve hii problem at all
better fly early, hii weather haikai safi
leta hio mali umeshinda ukiisanif
b~tterfly ali, huezi nipata lackin’
utarudi na black eye ukikujia asali
sisi ni watoto basi, tuvalisheni onesie
turudisheni daro, si tunakaa madwanzi
magirish mnaeka hadi budget ya chai
for a minute nlidhani ati mtaiweka aside

[verse 3]
rember time inarun, out of 5 itakuwa 4
four, three, two, one na una zero to show
tuma cheat au cheer niko ready kublow
kw~ngu ni ka guillotine so ni lazima ni~do
we kwako unashindwa kuifanya ju ni ati hauna doh
tangu europeans waende kuna hyenas on the lose
i.ts laptop hupitisha ujumbe deadlier than…
hatufai kuwa the same ndo mi na we tushare sp~ce
pia ka huna intel, mi na we hushare empress
unaskiza the best aka chief gwetheist
aka uncle trench hio iko familiar na warist
nowadays
[outro]
hr pump hio track bana


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...