lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu seba tommy – nihurumie

Loading...

[intro]

turuu turu turu..

[verse 1]

eeh mama alisema nisije kupenda.. nisije kupenda
ila nilipo kuona nilishindwa kujizuia eeh

i wish labda nisinge kuona.. nisinge kuona
huenda mpaka sasa moyo ungetulia eeh

natamani nifute hata namba na picha huenda nikakusahau
lakini nagundua kwamba siyo tija tayari upo moyoni

hata kama nikisema nisipende nitadanganya
sababu nishapenda na we unajua

labda ningefata maneno aliyoniambiaga maa
yakwamba nisipende mpaka nikikua

[chorus]

ati kweli ati hunipendi au unadanganya?
ati kweli ati mbona naona kama unachanganya?

ati kweli ati hunipendi au unadanganya?
wewe ati kweli ati mbona naona kama unachanganya?

[bridge]

lalaa lalaala
ooh baby baby

lalaa lalaala
ooh nihurumie

lalaa lalaala
ooh baby baby

lalaa lalaala
basi nihurumie


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...