lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu samonai – vibaya

Loading...

jaumble records
moyoni mw~ngu pigo
tena pigo sio dogo

na kwambali kifo
nakiona
ama ndio mapito
ya dunia kidogo
ila mbona sivyo ntapona
la kufanya sina sina sina aah
we uchome mtima mtima mtima aah
unizike mzima mzima mzima aah
nimekosa heshima heshima zako wewe
idara zote unatikisa
kw~ngu ndio makao ooh
mimi mitaa yote full kuvimba
wewe ndio mama lao
k~mbe najichoresha kw~ngu unaigiza
wao ndio walao
yani mvua ya mawe radi na giza
nakosa mazao
yeye eeh yeye eeh

vibaya vibaya (mapacha leo maadui)
vibaya vibaya (ndio kwanza asbuhi)
vibaya vibaya (nadumaa sikuwi)
mama simama

oyayaya (simama
na sio kwamba sioni nayaona yote nayaona
naepush~ga roho yangu ibaki salama
kukupenda sikomi nakupenda sana
unaona ij~po mateso yangu na moyo lawama
baridi baridi gani angali juwa lipo ardhi yatetemeka naiona
katiri katiri gani hata huruma haipo
yaani zii imetoweka imeyoyoma aaahaa

idara zote unatikisa
kw~ngu ndio makao ooh
wewe ndio mama lao
k~mbe najichoresha kw~ngu unaigiza
wao ndio walao
yani mvua ya mawe radi na giza
nakosa mazao
yeye eeh yeye eeh
vibaya vibaya (na sio kwamba hajui)
vibaya vibaya (mapacha leo maadui)
vibaya vibaya (ndio kwanza asbuhi)
vibaya vibaya (nadumaa sikuwi)
mama simama
oyayaya (simama
oyayaya
mambo yangu yote (vuruvuru)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...