lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu sabah salum – wawili wakipendana

Loading...

wawili wakipendana

bure mnajidhalili kusumbua zenu ndimi
bure mnajidhalili kusumbua zenu ndimi
yeye amenikubali kuishi yeye na mimi
yeye amenikubali kuishi yeye na mimi
mnosema hatujali mnosema hatujali
mnosema hatujali ni bure wenu husemi

ooooohhh
mmmmhhhh

yeye nimemchagua na mwengine simuonii
yeye nimemchagua na mwengine simuonii
mengi mnaulizia mi na yeye mimi kwa ninii
ooooohhh
mengi mnaulizia mi na yeye mimi kwa ninii
pendo linapo ingia pendo linapo ingia
pendo linapo ingia halijali masikinii

mnauliza swali nimempenda nini
mnauliza swali nimempenda nini
ni twabia na kauli leo kwenu na bainii
ni twabia na kauli leo kwenu na bainii
vitendo vyake asali tena nimevithaminii
vitendo vyake asali tena nimevithaminii
wawili wakipendana mwachukia kitu gani
wawili wakipendana mwachukia kitu gani
wawili wakipendana mwachukia kitu gani
wawili wakipendana mwachukia kitu gani
wawili wakipendana mwachukia kitu gani

mwataka sisi tutengane ili wawe furahani
mwataka sisi tutengane ili wawe furahani

ooooohhh

shida kubwa mtapata na wapa hatuachaani
shida kubwa mtapata na wapa hatuachaani
acheni kututafuta nyinyi mwatutakia nini?
acheni kututafuta nyinyi mwatutakia nini?
nilotaka nimepata fitina zenu za nini?
nilotaka nimepata fitina zenu za nini?

wawili wakipendana mwachukia kitu gani
wawili wakipendana mwachukia kitu gani
wawili wakipendana mwachukia kitu gani
wawili wakipendana mwachukia kitu gani
wawili wakipendana mwachukia kitu gani

mwataka sisi tutengane ili wawe furahani
mwataka sisi tutengane ili wawe furahani
mwataka sisi tutengane ili wawe furahani


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...