lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu sabah salum – hodhi la mahaba

Loading...

moyo ulishindwa hila ukanasa mapenzi
moyo ulishindwa hila ukanasa mapenzi
moyo ulishindwa hila ukanasa mapenzi
moyo ulishindwa hila ukanasa mapenzi
kwa mapenzi ya ghafula yalonivaa kwakani
kwa mapenzi ya ghafula yalonivaa kwakani
kwa mapenzi ya ghafula yalonivaa kwakani
kwa mapenzi ya ghafula yalonivaa kwakani
habib kanitawala kanitwalaaahh
kanijaa fuwadin kanijaa fuwadini
habib kanitawala kanitwalaaahh
kanijaa fuwadin kanijaa fuwadini
nimezama nimerowa nimerowa
kwenye hodhi la mahaba mpenzi waangu
nimezama nimerowa nimerowa
kwenye hodhi la mahaba mpenzi waangu

nishatua nimepowa nimepowa
mwenyewe nimemshiba
nishatua nimepowa nimepowa
mwenyewe nimemshiba

kw~ngu alijitokeza,nuru kutoka angani
kw~ngu alijitokeza,nuru kutoka angani
kw~ngu alijitokeza,nuru kutoka angani
kw~ngu alijitokeza,nuru kutoka angani
mapenzi akayakuza ahadi akabaini
mapenzi akayakuza ahadi akabaini
mapenzi akayakuza ahadi akabaini
mapenzi akayakuza ahadi akabaini

milele atanitunza atanitunza
na katu hato nighinina katu hato nighini
milеle atanitunza atanitunza
na katu hato nighinina katu hato nighini

nimezama nimerowa nimеrowa
kwenye hodhi la mahaba mpenzi waangu
nimezama nimerowa nimerowa
kwenye hodhi la mahaba mpenzi waangu
nishatua nimepowa nimepowa
mwenyewe nimemshiba
nishatua nimepowa nimepowa
mwenyewe nimemshiba

macho yake yanasema anienzi kwa thamani
macho yake yanasema anienzi kwa thamani
macho yake yanasema anienzi kwa thamani
macho yake yanasema anienzi kwa thamani
jangwani nimesimama kaniweka kivulinii
jangwani nimesimama kaniweka kivulinii
jangwani nimesimama kaniweka kivulinii
jangwani nimesimama kaniweka kivulinii

penye jua la kuchoma la kuchoma
huwa kama barafuni huwa kama barafuni
penye jua la kuchoma la kuchoma
huwa kama barafuni huwa kama barafuni

nimezama nimerowa nimerowa
kwenye hodhi la mahaba mpenzi waangu
nimezama nimerowa nimerowa
kwenye hodhi la mahaba mpenzi waangu

nishatua nimepowa nimepowa
mwenyewe nimemshiba
nishatua nimepowa nimepowa
mwenyewe nimemshiba

kwenye hodhi la mahaba nimezama sijioni
kwenye hodhi la mahaba nimezama sijioni
kwenye hodhi la mahaba nimezama sijioni
kwenye hodhi la mahaba nimezama sijioni
kw~ngu ni kubwa haiba kunipokea mwandaniiii
kw~ngu ni kubwa haiba kunipokea mwandaniiii
kw~ngu ni kubwa haiba kunipokea mwandaniiii
kw~ngu ni kubwa haiba kunipokea mwandaniiii
mwenyewe nimemshiba nimemshiba
sighair abadan sighair abadan
mwenyewe nimemshiba nimemshiba
sighair abadan sighair abadan

nimezama nimerowa nimerowa
kwenye hodhi la mahaba mpenzi waangu
nimezama nimerowa nimerowa
kwenye hodhi la mahaba mpenzi waangu

nishatua nimepowa nimepowa
mwenyewe nimemshiba
nishatua nimepowa nimepowa
mwenyewe nimemshiba

sabah salum ~ hodhi la mahaba lyrics/kwa maneno/mashairi/wimbo wa mapenzi/valentine day


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...