lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ruby – na yule

Loading...

yeah~yeah (yeah~yeah)
(ruby) yeah
(taurus)

mapenzi hayana mwenyewe
unaweza penda kijana au mzee, eeh
niite jina langu baby
huenda nafsi yangu itapoa, aah
shika moyo w~ngu baby, unavyokwenda mbio wewe utapowa, ah~ah, ah

kuna muda namwomba mungu angekuleta mapema, ohh
ila bado sio mbaya, wewe ndo unayejua maumivu yangu, hii baby
ila bado sio mbaya, wewe ndo unayejua maumivu yangu

sipo radhi unitoke machoni
tembea nami ndotoni, eh
nitakuweka moyoni
bila hofu rohoni, yi, baby

moyo w~ngu tembea na yule, na yule
ndo nampendaga
macho yangu mtazame yule, mtazame yule
namwamini sana

baby sitaki kutazama nyuma tena
mm, maumivu nilishayaona
wengi walinipotezea muda
mm, hakuna nlichokipata, ah~ah, ah

kuna muda namwomba mungu angekuleta mapema, ohh
ila bado sio mbaya, wewe ndo unayejua maumivu yangu, hii baby
ila bado sio mbaya, wewe ndo unayejua maumivu yangu

sipo radhi unitoke machoni
tembea nami ndotoni, eh
nitakuweka moyoni
bila hofu rohoni, yi, baby

moyo w~ngu tembea na yule, na yule
ndo nampendaga
macho yangu mtazame yule, mtazame yule
namwamini sana

ohh, siwezi ukabwe maisho yangu
yatonaimi ndotoni hii, yeah, yeah

moyo w~ngu tembea na yule, na yule
ndo nampendaga (ndo nampendaga)
macho yangu mtazame yule, mtazame yule (oh, mtazame yule, mtazame yule)
namwamini sana

moyo w~ngu tembea na yule, na yule (tembea na yule, tembea na yule)
ndo nampendaga (ayi, yeah, yeah)
macho yangu mtazame yule, mtazame yule (yule)
namwamini sana (oh yeah, yeah)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...