lirik lagu robbie omol – black and blue
[chorus]
your love is
black and blue, its so true
i feel you
every morning and afternoon
[verse 1]
wacha tu niseme hii story
tangu nikupate nairobi
sijataka kuenda kwingine
umenionyesha maisha
katika ushirika kanisani
mola akubariki
[verse 2]
na mangoma kali
tukiskiza hali
tutaongea kuhusu siku za usoni yani
vile yesu alitubadilisha hayo mavazi
sina siri ju siri zangu aliweka angazani
nataka tujuane
lakini sio kwa telly
roho yako inajua kuna siku kuna mwezi
ya mwanaume kuamua
yesu mtetezi
nifungulie njia ili nipate mapenzi
[chorus]
your love is
black and blue, its so true
i feel you
every morning and afternoon
[verse 1]
wacha tu niseme hii story
tangu nikupate nairobi
sijataka kuenda kwingine
umenionyesha maisha
katika ushirika kanisani
mola akubariki
[outro]
black and blue, its so true
every morning and afternoon
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu lil mandigo sosa – act out
- lirik lagu jamie webster – something’s gotta give
- lirik lagu neonomora – “don’t love me.”
- lirik lagu криспи (krispi) – цифры * (numbers *)
- lirik lagu y&m sad boy – 19
- lirik lagu mayhem – find a way
- lirik lagu melvoni – oh my
- lirik lagu the gathering – new moon, different day (demo / eroc session)
- lirik lagu young oodron – europa universalis
- lirik lagu mart’nália – soneto do teu corpo