lirik lagu rich mavoko – nita
nnzi kufia kwenye kiponda si haramu
lengo isiwe fimbo
usiweke furaha kwa kivuli tu
ivi itakuwaje ntapetape
na mwenye nacho upo
sitaki vita baridi
nichimbe upendo bandia
neno la mbali kwetu ni usiku wa kiza
usiombee penye ukimya mshindo utokea
ms’iba wa wengi si kama sherehe
tukiachana tufanye sherehe basi
niamini mimi
sumu fundo la rohoo
unajua nakupenda (we nataa)
basi unaringaa (we nataa wee)
kuna wengine wanatamani (we nataa)
watakuja kuzima (we nataa wee)
muosha ustli maiti
ndo kwenye siri unapo nisaliti
mteuzi eshi tamaa
ushindwe majani ule nyama
nimekubali weka mikono juu
siwezi siwezi wewe
hatupimani ubavuu
tusishindane kwa makuu
nshaweka nembo
usigeuze lengo
msiba wa wengi si kama sherehe
niamini mimi
sumu fundo la rohoo
unajua nakupenda (we nataa)
basi unaringaa (we nataa wee)
kuna wengine wanatamani (we nataa)
watakuja kuzima (we nataa wee)
we nataa wee, we nataa wee
we nataa wee
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu lim jae hyun – heaven (2023)
- lirik lagu asa (babymonster) – me, myself & i (romanized)
- lirik lagu zahn – nun 2 me
- lirik lagu cal & berkan – ghost!
- lirik lagu p-model – black in white
- lirik lagu marie gold – impatiente
- lirik lagu pablo pierrôt – no mercy!
- lirik lagu 張蔓姿 (gigi cheung) & lewsz – everything will be alright
- lirik lagu death grips – spread eagle cross the block (vocal)
- lirik lagu cicu – fell asleep