lirik lagu rayvanny – wasi wasi
heyy…
hmm heyy heyy…
mmhmhmmm…
upepo mwanana
nawe upo kifuani mw~ngu
jua likizama
mikono salama
karibu kwenye moyo w~ngu
mi baba uwe mama
aah…
zima taa washa mishumaa
nilishe kama na njaaaa
aah…
kila dakika kila masaa
palilia penzi litasinya
aah…
sura yako macho yako
upole wa mama yako
we chaguo langu
mama aah
taswira yangu picha yako
moyo w~ngu mali yako
we chaguo langu
mama aah
wasiwasi
mwenzako sina
maana niko na wewe
wasiwasi
tunza heshima
niwe na ww milele
wasiwasi
uko na mm usiwe na
wasiwasi
uniaminiii
usiwe na wasiwasi
ntakuganda ruba
pua na leso tufatane
mahabuba
tuwe mapacha tufanane
wenye husuda wakiroga tutengane
ongeza rutuba
nije na pete tuoane
supu chukuchuku
miguu ya vikuku
ayy
utaua ehh
utaua ehh
na haya m~n~sunusu
ukinibusubusu
ayy
maua ehh
maua ehh
sura yako macho yako
upole wa mama yako
we chaguo langu
mama aah
taswira yangu picha yako
moyo w~ngu mali yako
we chaguo langu
mama aah
wasiwasi
mwenzako sina
maana niko na wewe
wasiwasi
tunza heshima
niwe na ww milele
wasiwasi
ehhhh
uko na mm usiwe na
wasiwasi
uniaminiii
usiwe na wasiwasi
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu wechoice – dám rực rỡ
- lirik lagu yeat & lil uzi vert – big tonka
- lirik lagu kedr – по дороге домой (on the way home)
- lirik lagu trouble’s afoot – dust town
- lirik lagu tacøma – momento perfetto
- lirik lagu giant claw – crash
- lirik lagu muillet – higher vamp
- lirik lagu affinity drive – raindrops in a hurricane
- lirik lagu povel ramel – tjo va’ de’ var livat i holken (1991 version)
- lirik lagu etta marcus – skin parade