lirik lagu rayvanny – nateswa
hivi nachezea rhumba ama bolingo nangai
maana nina kiwembe kwenye vita ya masai
wanitesa mchumba nimependa sishangai
penzi kitovu uzembe mi nalia we furahi
ila musiende nyumbani za wageni walete nyumbani kw~ngu
chunga taratibu na chaga msije vunja kitanda changu
nimekunulia na feni msisweti mke w~ngu
kama majasho mkimwaga litumie taulo langu
naaa baya lako zuri kw~ngu yote nimekusamehe
kosa la kwako lawama kw~ngu acha tu nijitetee
furaha yako furaha yangu sipendi unyong’onyee
ukimpenda rafiki yangu sema nikutongezee
utamu wa pipi ni mate yangu
wapika na mimi wanakula wenzangu
ona nakosa siti kwenye gari langu
kuleni embe acheni kokwa langu
nateswa nateswa
mwenzenu nateswa na mapenzi
jamani nateswa nateswa
mwenzenu nateswa na mapenzi
mapenzi anapanga maanani sitaki kuruka kuruka
sawa ni pande kichwani ukichota itashuka
niite mfanyakazi wa ndani huna haja kusumbuka
kwani anakuja muda gani niwatandikie shuka
siogopi kushare ila usisahau kinga
j~po kw~ngu fedheha kuku wa chando nashinda
kweli wanionea nakubali we ndo bingwa
nipo radhi kulea kama wakikupa mimba
naaa baya lako zuri kw~ngu yote nimekusamehe
kosa la kwako lawama kw~ngu acha tu nijitetee
furaha yako furaha yangu sipendi unyong’onyee
ukimpenda rafiki yangu sema nikutongezee
utamu wa pipi ni mate yangu
wapika na mimi wanakula wenzangu
ona nakosa siti kwenye gari langu
kuleni embe acheni kokwa langu
nateswa nateswa
mwenzenu nateswa na mapenzi
jamani nateswa nateswa
mwenzenu nateswa na mapenzi
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu uselessmeat – ты правда в это веришь? (do you really believe this?)
- lirik lagu aidam-john & lil’ willy – here dankie
- lirik lagu affinity drive – women and children first
- lirik lagu belles – loving you feels like
- lirik lagu רותי נבון – ulay machar – אולי מחר – ruthi navon
- lirik lagu kassidy miles – what’s love
- lirik lagu raima biswas – i want him!
- lirik lagu ?benny mayne – throwing parties
- lirik lagu ncphail – bin ich
- lirik lagu sovereign grace music – and can it be that i should gain (live)