lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu rayvanny – nakupenda

Loading...

oooh manyi kwagalanyo uuuh yeeh iiih

mi kugombana na baby no

kununiana na baby no

mambo ya kupigana na baby no

eti niachane na baby no

sikujua aaah nitapenda hivi

akiniacha aaah mi nakua chizi

baby turn around i wanna see your back

bigi heavy heavy alafu tumbo flat

ukimwaga maji nipo table mat

play some music ghetto kuna party

nakupeeenda we meant to be together

nakupenda nakupenda
me and you forever nakupenda wewe

oooh girl i want you to know that

uzuri wako hauna mfano

s~xy body look at your back

ngozi mwanana chuchu sindano

ona mungu kaumba mtoto spesho

sio mtumba ye ndo mama mwenye nyumba

wasompenda wamechunda

sikujua aaah nitapenda hivi

akiniacha aaah mi nakua chizi

baby turn around i wanna see your back

bigi heavy heavy alafu tumbo flat

ukimwaga maji nipo table mat
play some music ghetto kuna party

nakupeeenda we meant to be together

nakupenda nakupenda

me and you forevеr nakupenda wewe


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...