lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu rapcha – mungu na masela

Loading...

chorus: rapcha

maskani tukipita wakaniona

roho zao zinawachoma

hawataki nidake salio “namba”

wame~tight kila kona

verse. 1

masela eeh

chap chap usikae tu kibwege

ki~stone ku~siz na mbege

bongo ka kuna ubwege

kinachotutesa ni umaskini chuki na nye~~~

text moko dm kisha akanivutia waya

nkaibuka dar na mziki wanauskia now
fame ndo imefanya saa hii mi nakoa
pisi kali ka mtoto wa khadija kopa now

and she be like baby

kama utakua ready

tuweke wazi mahusiano yetu kila page

rick media millard ayo watuweke main page

it’s official en we on to the next page

bridge

oyaaaeeeeehh eeh yah yah

mungu na masela
mungu na masela

oh yaah yaah

mungu na masela
mungu na masela
oh yaah yaah

mungu na masela
mungu na masela

chorus

maskan tukipita wakaniona

roho zao zinawachoma

hawataki nidakе salio “namba”

wame~tight kila kona

verse 2

washkaji mnataka nini!?

cash tu!!

maskani tunakula nini!?

vitu!!!
bongo hatutoboi kisa nini!?

gubu!!

na wachumba wanataka nini!?

rungu!!

nshashtuka wanahatе na na wana~paste

ila huwezi futa pale jah anapo~bless

mto nauvuka mamba namcheki sikwepeshi

mbele kuna tuta acha nikazie seat belt

waki~mind tutafutane tu fresh

wanajua pakunipata sio kesi

machizi wa kweli tunajuana tu fresh

new friends i’m sorry

bridge

oyaaaeeeeehh eeh yah yah

mungu na masela
mungu na masela

oh yaah yaah

mungu na masela
mungu na masela

oh yaah yaah

mungu na masela
mungu na masela

chorus

maskan tukipita wakaniona

roho zao zinawachoma

hawataki nidake salio “namba”

wame~tight kila kona


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...