lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu prince dully sykes feat. diamond & ommy dimpoz – utamu

Loading...

it′s studio 4.5
aahh! baby de antony
(eeh) handsome

(ha hee) baby de antony
handsome

(dimpoz kwa poz) ta ta raa
clever dee, clever dee (ta ta raa)

poz kwa poz (na diamond)
poz kwa poz (wasafi)
poz kwa poz (wasafi)
eeeh aah, eeh aah

basi ndo ule utamu (utamu)
ulonizidi hamu, nami nkakupa peremende
kama hauna nidhamu, haramu
nipe mambo matamu, ila kama hutaki niende

basi ndo ule utam (utamu)
ulonizidi hamu, nami nakakupa peremende
kama hauna nidhamu, haramu
nipe mambo matamu, ila kama hutaki niende

ukikata utamu utamu
ukicheka utamu utamu
ukilia (utamu utamu)
utamu utamu, utamu utamu

unavyikata aaih (utamu utamu)
aah aah iih ukicheka (utamu utamu)
ukilia (utamu utamu)
utamu utamu, utamu utamu

uzuri wako kama wema pale kati
nmekuteka hata jiga hakupati
hata wengine wakisema
umeshatenda nami nakupenda kwa dhati

na sura yako tamu kama joketi
j~pokuwa babe umekosa kidoti
nami nipe tena kwa kitanda
asa pale kwenye busati

lemme say mamy leo
ninachoomba onesha upeo
unipe mambo ya kwenye video
unipe maraha maradha mavitu ya dunia hii

hii mamy leo
ninachoomba onesha upeo
unipe mambo ya kwenye video
unipe maraha maradha mavitu ya dunia hii

unavyo kata utamu utamu
ukicheka utamu utamu
ukilia utamu utamu
utamu utamu, utamu utamu

aah aah iih unavyokata utamu utamu
aa aah aiih ukicheka utamu utamu
ukilia utamu utamu yeah yeah
utamu utamu, utamu utamu

sitaki mwingine
kipenzi ni wewe
ni wewe
mie sitaki mwingine

pistol yangu unaikoki
unaanza kuishikashika
na machozi ya kububujika
mwishoni na yenyewe inakudedisha

uuuuh!! unaikoki mama
unaanza kuishikashika
na machozi ya kububujika
mwoshoni na yenyewe inakudedisha (paaaah)

mamy leo
ninachoomba onesha upeo
unipe mambo ya kwenye video
unipe maraha maradha mavitu ya dunia hii

mamy leo
ninachoomba onesha upeo
unipe mambo ya kwenye video
unipe maraha maradha mavitu ya dunia hii

handsome yule mtoto wa kariakoo
awesome kolabo na diamond
handsome yule mtoto wa kariakoo
na diamond eeh ahh (poz kwa poz)

handsome yule mtoto wa kariakoo
awesome kolabo na diamond
handsome yule mtoto wa kariakoo
na diamond eeh ahh

unavyo kata utamu utamu
ukicheka utamu utamu
ukilia utamu utamu
utamu utamu, utamu utamu

unavyo kata utamu utamu
ukicheka utamu utamu
ukilia utamu utamu (yeah)
utamu utamu (yeah), utamu utamu

basi ndo ule utam (utamu)
ulonizidi hamu, nami nakakupa peremende
kama hauna nidhamu, haramu
nipe mambo matamu, ila kama hutaki niende

basi ndo ule utam (utamu)
ulonizidi hamu, nami nakakupa peremende
kama hauna nidhamu, haramu
nipe mambo matamu, ila kama hutaki niende

kama ningeweza uje ishi nami huku dar
ningeweza uje ishi nami huku dar
kama ningeweza uje ishi nami huku dar
ningeweza uje ishi nami huku dar

kama ningeweza uje ishi nami huku dar
ningeweza uje ishi nami huku dar
kama ningeweza uje ishi nami huku dar
ningeweza uje ishi nami huku dar


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...