lirik lagu petronilla ayuma – mama
intro
the spirit of a mother never dies
verse 1
uliyalea maisha yangu
upendo wako kw~ngu ulikuwa mkuu
milele daima ulikuwa kw~ngu
hata kama uliondoka haraka
mkono wako ulinifuta machozi
mdomo wako uliniimbia wimbo
ulinituliza kifuani pako
nikalala mikononi mwako ooh mamaaa
chorus
malkia w~ngu dunia yote hakuna kama wewe x2
ulinganishwe na naniii
malkia w~ngu dunia yote hakuna kama wewe
ufananishwe na naniii
malkia w~ngu dunia yote hakuna kama wewe
verse 2
mbingu zilipo nigeukia kijivu
wakati mwingi nilikuwa taabani
ulikuwapo daima kunifariji mimi mama aaah
ulinifunza like kitu nikajua
nami nikaweka salama ndani yangu
upendo wako kw~ngu ulikuwa kama miyale ya nyota aah
kuniangazia dunia yangu vikali mimi mama aah
asante malkia w~ngu dunia yote
chorus
mamaa mamaa
malkia w~ngu dunia yote hakuna kama wewe x2
ulinganishwe na naniii
malkia w~ngu dunia yote hakuna kama wewe
ufananishwe na naniii
malkia w~ngu dunia yote hakuna kama wewe
bridge
mamaaa mamaaa
malkia w~ngu dunia yote hakuna kama wewe
nimetafuta kila mahali nimetafuta dunia yote
malkia w~ngu dunia yote hakuna kama wewe…
kwenye vikundi vya wa mama
sijaona wakulinganishwa..
malkia w~ngu dunia yote hakuna kama wewe…
mwenye mausia bora
mwenye uelekezi bora..
malkia w~ngu dunia yote hakuna kama wewe…
mwenye ushawishi bora
mwenye mwenye uongozi bora
malkia w~ngu dunia yote hakuna kama wewe…
chorus
mamaa mamaa
malkia w~ngu dunia yote hakuna kama wewe x2
ulinganishwe na naniii
malkia w~ngu dunia yote hakuna kama wewe
ufananishwe na naniii
malkia w~ngu dunia yote hakuna kama wewe
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu daniel ingram – più unite che mai
- lirik lagu youngwipe, smaxxy – ysl
- lirik lagu the hamiltones – hwy 74
- lirik lagu free refills – eternity or something
- lirik lagu duwap kaine – count me out
- lirik lagu mc rahell – sonho de muleque
- lirik lagu maria pino – full band version
- lirik lagu supr3mo – granny
- lirik lagu duwap kaine – famous
- lirik lagu jorrdee – godefroy