lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu otile brown – this kind of love

Loading...

oooh love baby
nahisi umenifunga kokoro
nahisi umenifunga minyororo ya mahaba
ata kwenye giza totoro beiby
nachohitaji ni uwepo wako na ni sawa
we ni juliet mi romeo
leo kesho, peponi yeah yeah
sikio ushafunga kwa komeo yao usisikie
wabaya wanasema hunifai(hunifai)
wanasema eti huna hadhi nami(nami)
kwenye hili penzi nina imani beiby

wabaya wanasema hunifai(hunifai)
wanasema eti huna hadhi nami(nami)
kwenye hili penzi nina imani beiby
this kind of love(aaah)
of love
hautoipata hata kwa hela
of love, of love
this kind of love(aaah)
of love
hautoipata hata kwa sponsor
of love, of love(love)
ipo radhi nite~niteketee
mama nite~niteketee
kwa lako huba la dhamani
lako huba la dhamani
ipo radhi nite~niteketee
mama nite~niteketee
kwa lako huba la dhamani
lako huba la dhamani
wabaya wanasema hunifai(hunifai)
wanasema eti huna hadhi nami(nami)
kwenye hili penzi nina imani beiby
wabaya wanasema hunifai(hunifai)
wanasema eti huna hadhi nami(nami)
kwenye hili penzi nina imani beiby
this kind of love(aaah)
of love
hautoipata hata kwa hela
of love, of love
this kind of love(aaah)
of love
hautoipata hata kwa sponsor
of love, of love(love)
this kind of love(aaah)
of love
hautoipata hata kwa hela
of love, of love
this kind of love(aaah)
of love
hautoipata hata kwa sponsor
of love, of love(love)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...