lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu otile brown – k.o (tiktok)

Loading...

ulivyonipiga kitasa
mama pumzi inakatakata
kanipiga butwa twa twa twa!
hata maneno nang’ata
hakika ma ulivyowaka
nashindwa hata kuongea
mungu fundi bwana kuumba
utapendeza hata ukisuka shuruma
umenipiga k.o (knockout, knockout)
hiyo make up k.o (knockout) aah (knockout)
umenipiga k.o (knockout, knockout)
nywele up k.o (knockout) aah (knockout)

do it for the tik~tok!
tiktok! tiktok!
tiktok! tiktok!
tiktok! tiktok!
mama do it for the tik~tok!
tik~tok! tiktok!
tiktok! tiktok!
tiktok! tik
(vicky pon dis)
ladies watoto wakali mnajijua
siri za mwanamke kuringa nataka kuona step
ladies watoto wakali mnajijua
ka umevaa unapendeza nataka kuona shape
short of long hair, pretty pretty baby face
hips lips kiss, red wine taste
police police tunadai kupewa kesi
akikuangalia tu unaweza kutoa kadi ya benki
macho vya kusinzia, zile kuibia ibia
utasema kala kitu alafu kimemzidia
kama inataka kupanda mizuka kajiachia
sarakasi imesamba mateke ya sifia
picha limekolea n~z~ hashikiki na msichana
anataka k~mwaga radhi anacheza kainama
ukuti ukuti kainuka kasimama
nguo fupi lakini anaona kama inambana
kipochi chini ka amechina viatu
msala ndio color na kifiga cha kibantu
akisema ataka tizi mtaani atachanganya watu
she’s smart, she pretty
and she knmows what she wants to
ukikompare we unatofauti
darassa otile brown si knock out
tiktok! tiktok!
tiktok! tiktok!
tiktok! tiktok!
tiktok! tiktok!
umenipiga k.o (knockout, knockout)
hiyo make up k.o (knockout) aah (knockout)
umenipiga k.o (knockout, knockout)
nywele up k.o (knockout) aah (knockout)
do it for the tik~tok!
tiktok! tiktok!
tiktok! tiktok!
tiktok! tiktok!
mama do it for the tik~tok!
tik~tok! tiktok!
tiktok! tiktok!
tiktok! tik


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...