lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu orbit makaveli – wa taifa

Loading...

intro
unh.. mr kesho
yeah.. yap.. yeah
verse(orbit)
look, haijalishi w~nga w~n~leta habari gani
hatuwezi kutetereka hatuvurugani
we ndio sultana, mi ni sultani
vikwazo kibao ila penzi letu ni burudani

she likes fast, she loves it slow, she brings it back then drop it low
she know she bad, i want it all, acha wanafki watokwe roho
siku hizi tunafanana ka’ kanda mbili
mikwanja dili napanga so mum subiri
majanga ukija kudanga ni ka’ shubiri
na w~nga utawapa mw~nga wa kutu k!ll unh

hook(mr kesho)
sina tantalilaa, tantalila, baby wa taifa ni weewee, wa taifa
penzi letu lina pepea, pepea, pepea
tumesimama kidedea, dedeaa, mmmmh
dedeaaa, dede

verse 2 (orbit)
mtoto ana kinyungu ni faya faya
nikizidisha utundu ni wayawaya
akisafisha uvungu nagwaya gwaya
mpaka nakaribisha wazungu ulaya ulaya

mi napenda kila kitu about her yeah!
mapocho pocho na ma sapta sapta yeah!
ni zaidi ya kisu anavyo kata kata
wa zamani naomba mkome kunifuata fuata

she my ride or die, with me like a certified freak
apple b~ttomed booty, mtoto mzuri wa kiafrika
zaidi ya ngoma kali, chati za juu anavyoshika
tozi pata tahadhari, ukishoboka ni vita

hook(mr kesho)
sina tantalilaa, tantalila, baby wa taifa ni weewee, wa taifa
penzi letu lina pepea, pepea, pepea
tumesimama kidedea, dedeaa, mmmmh
dedeaaa, dede

bridge(mr kesho)
chizi wa mirembe, sielewi kabisa, we ndio w~ngu wa maisha
kwa mama twende, penzi kuhalalisha tufanye kuharakisha
tupate baraka mi na wewe, tuishi wote milele
tupae mawinguni my girl ye yeeaah aaaouh!

hook (mr kesho)
sina tantalilaa, tantalila, baby wa taifa ni weewee, wa taifa
penzi letu lina pepea, pepea, pepea
tumesimama kidedea, dedeaa, mmmmh
dedeaaa, dede


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...