lirik lagu nviiri the storyteller – pombe sigara
oh-ooh, pombe sigara
naweza wacha bila kung’ang’ana
lakini, hawa wasichana
vile nawapenda, ni kama laana
ooh, sol generation
i’m tha storyteller, aye, aye, aye
ooh lawd
naskia walevi huota na beer
lakini kuna siri nitawaibia leo
see i’m not addicted to alcohol
i’m not a victim, not at all
yalimpata samson, yakampata solomon
situation hugeuka tricky
kila shimo napanda miti
contribution kwa team mafisi, karura
eeh, hii situation hugeuka tricky
kwa hivyo…
msiniweke kamba kwa shingo
pombe sigara
naweza wacha bila kung’ang’ana, ah
lakini, hawa wasichana, vile nawapenda
ni kama laana, ah
someone please call 911
tell them the storyteller has gone down
ati alivunja shingo akalemewa
akatoa fimbo nje ya ndoa
na hivyo ndivyo alijichomea
ehh hii situation imekuwa tricky
kuna shimo alipanda miti
na hivi sasa ako kamiti kwa jela
eeh hii situation hugeuka tricky
kwa hivyo…
msiniweke kamba kwa shingo
pombe sigara, ah
naweza wacha bila kung’ang’ana, ah
lakini, hawa wasichana, vile nawapenda
ni kama laana, ah
ooh yeah, yeah
pombe sigara, ah
naweza wacha bila kung’ang’ana, ah
lakini hawa wasichana, maze, vile nawapenda
ni kama laana, ah
(ooh yeah, yeah, yeah, yeah)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu ace hood – supposed to do
- lirik lagu sercho – questo blunt
- lirik lagu dmx – bad guys (shoopac mix)
- lirik lagu dan bull – shut down
- lirik lagu paweł bokun – 200 po mieście
- lirik lagu emfasis – astros
- lirik lagu h.e.r. – going
- lirik lagu chris clark – whisper you love me boy
- lirik lagu niro – fourmis
- lirik lagu lé jitt – shit you can’t do part 2