lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu non stop – huyo mimi

Loading...

nonstop
vers 1

ni mimi mmoja mlie mtenga
mimi yule yule mmoja mmoja msie mpenda
ni mimi huyo mmoja mlie mshika
kwenye raha na furaha ila kwenye shida mkani pisha

mimi yule yule mmoja mtenda wema
kwa makosa ya zaman mkanichukia tena
mkanishushia wema kwa ubaya mkanisema
mkasahau mi wa kwenu paka mate mkanitema

hiv nilikosea nini?
maana kwenye kila baya mkosaji mimi
leo staki kuamin
maana ata majina yangu yote ya kwenu ninyi

niwalipe kisha nitubu?
nitende ubaya nivunje paka undugu?
niwak~mbushe mi kunguru sifugiki
na mkileta za kuleta tena niwatie uchungu

simba jordan

chorus
ni huyo mimi ~ 4

nonstop vers 2

ni huyo mimi mkaninyima paka elimu
mkaninyima chakula mkidai siwaheshimu
huyo mungu kajalia niwe mkubwa
pengne niwaokoe au pengne niwauk~m

ni huyo mimi mi mna ni k~mbuka ?
mliopigia kelele za furaha nlipo anguka
shangwe na vinubi vya mapito
mkicheka na kuteta kwa hili anguko

hivi niliwakosea nini?
maana kwenye kila baya mkosaji mimi?
wakwenu siamini
maana ata majina yangu ya kwenu ninyi

nawakak~mbuka mlio sema ntapotea
na ukubwa jalalala yote na pokea
mungu amenipa mama mwingne wa kunishika
wachache ndugu zangu na kaka wa kunizika
ni mimi huyo


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...