lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nok – freestyle i

Loading...

verse:
mama kaniuliza noky
noky ur haters wakoje
kisha nikamjibu duki
(mama)×2 it’s oky

ma haters wana hustle, its oky
wanamwaga na jasho ,24/7
wanataka nilichonacho,in the same game
nawapa michapo in de flampeni
kanyaga kwa nako ,on the same plain
natuliza na macho without hear them
(without hear them )  (am meaning)×2 don fear them

better being fake without hear my name
maan mm ndo farmer nawakuzia adabu zenu
fakeng ,snichng, (fake)×2 den
splitting speakng kwani unajua campaign

who no body gonna get meh , gonna feel meh i care
uno kati mm staki mtafutie wakushare
kelele flani mdogo mdogo tukikaaga pair
meh na wife material tunapendezea
what the hashtag life is bingo ,wala sio kuotea
usijikute punch ,kw~ngu utapotea

my life ndo everything ukiwa na pesa ,ndo like a king
everthing is possible only just ukiwa makini
namshukuru mungu kwakunieka dunia hii
na usione easy nikatunga verse hii
nilikaa nikasubiri siku yang ifike
sikutaka kukubali ule mwisho w~ngu upite
maana najua mola kanipa kipaji hiki
cha kuflow kwenye ma beat
nakuwaimbia watoto wazuri,wanao upenda huu mziki
(huu mziki)

waweza kupenda ukateleza……….(teleza)×2
mangi alipenda akapendeza…….(pendeza)×2
waweza kupenda ukakonyezwa…..(konyezwa)×2
nabado mchezo ukalembeshwah …..(lembeshwah)×2

hili goma kale la safish~ga madoa
still kwenda mbali ww unabaki kukodoa
ukitaka kula mchicha so lazm utaloa
sikuizi akuna k~metisha ,coco beach uta vua

napika biko flan ma haters gonna k!ll you
(am k!lling)×2
huwezi kuwa spy bila hi am telling
(am telling)×2

huh since day one nasaka pesa bila venue
meh kidogoli unataka kuni use sina menu
still mtoto wa mama unataka kukesha nenda kwenu
bad toka jana ninatrap kwa jili yenu

sisi ma n~ggas tuna trap like a billioners
we don lose hope tuna nyemelea
unanitaka unitaki nakusogezea,(funk)

v50, nipe vitu flani vya kublow there
punch punch kali nikupe more u dare
na atakama sina mistar nita hang there
(plzzzz)

(hahahaha)( noky)×5
i k!ll them wananisikia


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...